andika kiswahili baba! hiyo constant si mahali pake!Kwa sababu kenya kuna mazingira rafiki na pia policies zao zinatabirika(constant) tofauti na nchi nyingine ambazo rais anaweza tu kuamka na kudai "Airtel ni mali yetu 100% ila kuna wahuni walitaka kutuibia" kumbe hata 45%share hawana!
We ulitaka waweke wap?Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.
Nirudi kwenye mada yangu.
Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.
1. IBM
2. Google
3. Unilever
4. Facebook
5.
jamaa kanishangaza sana,, haha!
Constancy is what I meantandika kiswahili baba! hiyo constant si mahali pake!
Hata Aljazeera wana ofisi yao KenyaKwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.
Nirudi kwenye mada yangu.
Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.
1. IBM
2. Google
3. Unilever
4. Facebook
5.
Hapo kweny usalama sasa naona unaonesha mahaba ya wazi!Kodi ya Kenya rafiki na mji mkuu wao Nairobi upo salama zaidi.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kuhusu usalama HAPANA!! Nairobi haijawahi kuwa salama!Kodi ya Kenya rafiki na mji mkuu wao Nairobi upo salama zaidi.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Kweli nakuunga mkono huu upuuzi ufutwe, kama Google and Facebook HQs zipo Nairobi na kule Silicon Valley in the southern San Francisco kuna maegesho yao ya magari.Mods, wapuuzi wakimaliza kujadili ufute hizi nyuzi zote.
Kuhusu usalama ni mzuri Nairobi na Kenya kwa ujumla, hapo hapanaNimefanya kazi international NGOs kama 3 hivi zote Regional office ni Nairobi, Kenya
HQ Nairobi,Kenya.
Hili swali hata mimi nimeshajiuliza sana.
Tanzania tunataizo gani ati. Usalama?, Amani?, Sera za nchi?,Rasilimali watu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa sababu kenya kuna mazingira rafiki na pia policies zao zinatabirika(constancy) tofauti na nchi nyingine ambazo rais anaweza tu kuamka na kudai "Airtel ni mali yetu 100% ila kuna wahuni walitaka kutuibia" kumbe hata 45%share hawana!
Nimefanya kazi international NGOs kama 3 hivi zote Regional office ni Nairobi, Kenya
HQ Nairobi,Kenya.
Hili swali hata mimi nimeshajiuliza sana.
Tanzania tunataizo gani ati. Usalama?, Amani?, Sera za nchi?,Rasilimali watu?
Nairobi ipi iko salama?Kodi ya Kenya rafiki na mji mkuu wao Nairobi upo salama zaidi.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]