Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Still si mahala pake! Ulipaswa kutumia policy zao zina consistency ama ziko static!Constancy is what I meant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Still si mahala pake! Ulipaswa kutumia policy zao zina consistency ama ziko static!Constancy is what I meant
Uki-combine all those investments zao hazifikii what Dangote injected to build his one cement factory!Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.
Nirudi kwenye mada yangu.
Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.
1. IBM
2. Google
3. Unilever
4. Facebook
5. BBC
6. Aljazeera
Kwa kusema tunazo *gani# we ni mtu ya kibela. Tz hakunaga shidaNimefanya kazi international NGOs kama 3 hivi zote Regional office ni Nairobi, Kenya
HQ Nairobi,Kenya.
Hili swali hata mimi nimeshajiuliza sana.
Tanzania tunataizo gani ati. Usalama?, Amani?, Sera za nchi?,Rasilimali watu?
Woiii giza trying to stay relevant[emoji23][emoji23]Uki-combine all those investments zao hazifikii what Dangote injected to build his one cement factory!
Huu wimbo mmeimba tangu the 80's,ngoja tulale mtupiku, jus to let u knw that the Gdp gap is at usd.30bTumieni akili basi mbona mnahangaika na vitu viko wazi!!!!
Jibu ni kwamba nairobi imeendela mapema sana zaidi ya miji mingine yote EA.kwa vyovyote tu ingekuwa hivyo.
Il sasa swala hili haliwezekani tena maana inakwenda kupoteza ufalme wake wa muda mrefu.
Same concept I had.Sina uhakika, nahisi tu; Kenya ni nchi ya kibepari, hivyo taasis au makampuni kutoka nchi za kibepari hujiskia amani yanapokuwa katika nchi ya kibepari.
Kihistoria Kenya wameishi walowezi (Settlers) kwa miaka mingi na kutengeneza mfumo wa Kibepari.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lugha nayo ina matter.
Huku kwetu kiingereza ni cha kuunga unga hata wenye phd.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.
Nirudi kwenye mada yangu.
Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.
1. IBM
2. Google
3. Unilever
4. Facebook
5. BBC
6. Aljazeera
Nimefanya kazi international NGOs kama 3 hivi zote Regional office ni Nairobi, Kenya
HQ Nairobi,Kenya.
Hili swali hata mimi nimeshajiuliza sana.
Tanzania tunataizo gani ati. Usalama?, Amani?, Sera za nchi?,Rasilimali watu?
Huu wimbo mmeimba tangu the 80's,ngoja tulale mtupiku, jus to let u knw that the Gdp gap is at usd.30b
Sent using Jamii Forums mobile app
Sera zetu labda sio rafiki.Nimefanya kazi international NGOs kama 3 hivi zote Regional office ni Nairobi, Kenya
HQ Nairobi,Kenya.
Hili swali hata mimi nimeshajiuliza sana.
Tanzania tunataizo gani ati. Usalama?, Amani?, Sera za nchi?,Rasilimali watu?
Haya yote ni makampuni ya mabeberu. Sisi na rais wetu wa wanyonge hatupendi mabeberu maana ni wanyonyaji sana. Watatuibia rasilimali zetuKwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.
Nirudi kwenye mada yangu.
Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.
1. IBM
2. Google
3. Unilever
4. Facebook
5. BBC
6. Aljazeera
Still si mahala pake! Ulipaswa kutumia policy zao zina consistency ama ziko static!
Kwa sababu kenya atleast wanajielewa kuliko walevi wa gongo wote wanaojiita marais wa hizi nchi za huu ukanda
Sent using Jamii Forums mobile app