Nimefanya kazi Mji wa Nairobi na Dar es Saalam.
1.Nairobi has great weather, 18 to 27 degrees all year, no extreme weather. Dar is too hot
2. Kila mtu anaongea au kuelewa Kingereza Nairobi. Kwa hivyo any foreigner can easily work, move around without wasting time kuelewana. Dar its Kiswahili and extra work has to be put to enable communication. Controversial but kiswahili locks out a section of population from current world trends, proffesional education like skills certification that people pursue on their own. Amani lakini mnabaki bila ujuzi kwa wale hawana bidii kujua kingereza, worse in Kampala.
3. Nairobians are known to be aggresive, less lazy and less blame game. Foreigner pushes hard for results Nairobians will do the work. Dar more likely watalia ubepari na ukoloni au foreigner anatunyanyasa na kukataa kazi
4. JKIA is a major hub. Connections to all over the world easily.
5. Much less hatred for foreigner in Kenya than many places in Africa. We see a mzungu we think more of money from them than mzungu amerudi kutunyanyasa. Policies na behaviour ya wakenya is more of attract the money than keep ukoloni away. Ukoloni imesaulika kabisa Nairobi.
5. Infrastructure. Dar mwaka jana nilishangaa kwamba wenyeji hawajui vitu kama fiber to the home for internet. Nairobi internet connection unapata kwa urahisi na bei nafuu. Barabara za tarmac ziko mpaka ndani ya surbubs lakini niliona Dar ukitoka general CBD, barabara haziko, vumbi tuu. Hospitals, malls, cinemas, parks for relaxing ziko mengi Nairobi.