Kwanini Makampuni makubwa duniani yanapenda kuweka Makao yao Makuu nchini Kenya kwa ukanda huu ?

Kwanini Makampuni makubwa duniani yanapenda kuweka Makao yao Makuu nchini Kenya kwa ukanda huu ?

Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.

Nirudi kwenye mada yangu.

Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.

1. IBM

2. Google

3. Unilever

4. Facebook

5. BBC

6. Aljazeera
Uki-combine all those investments zao hazifikii what Dangote injected to build his one cement factory!
 
Tumieni akili basi mbona mnahangaika na vitu viko wazi!!!!

Jibu ni kwamba nairobi imeendela mapema sana zaidi ya miji mingine yote EA.kwa vyovyote tu ingekuwa hivyo.

Il sasa swala hili haliwezekani tena maana inakwenda kupoteza ufalme wake wa muda mrefu.
Huu wimbo mmeimba tangu the 80's,ngoja tulale mtupiku, jus to let u knw that the Gdp gap is at usd.30b

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika, nahisi tu; Kenya ni nchi ya kibepari, hivyo taasis au makampuni kutoka nchi za kibepari hujiskia amani yanapokuwa katika nchi ya kibepari.

Kihistoria Kenya wameishi walowezi (Settlers) kwa miaka mingi na kutengeneza mfumo wa Kibepari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Same concept I had.

naamini hawakufanya coincidently, Kenya bado ni mtoto wa malkia. Kama ilivyo UK kuwa kitovu cha biashara kwa US ndani ya EU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Climate as well is a factor. The weather in Nairobi is abit Moderate all year round and friendlier to foreigners compared to other EA cities. Personally I cant stand the heat in Mombasa ... Works better as a holiday destination!!!!
 
si ndi mjini we unadhani kwa east africa mjini ni wap..???
Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.

Nirudi kwenye mada yangu.

Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.

1. IBM

2. Google

3. Unilever

4. Facebook

5. BBC

6. Aljazeera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya kazi international NGOs kama 3 hivi zote Regional office ni Nairobi, Kenya
HQ Nairobi,Kenya.

Hili swali hata mimi nimeshajiuliza sana.
Tanzania tunataizo gani ati. Usalama?, Amani?, Sera za nchi?,Rasilimali watu?

Three reasons:
1. Lack of skilled labour
2. Bad policies (lack of sound policies)
3. Lack of appropriate infrastructure
 
Kwanza nitoe pole kwa yaliyotokea kwa siku ya jana. Hakuna binadamu yeyote timamu anaeweza kufurahia au kufanya walichokifanya hawa waoga.

Nirudi kwenye mada yangu.

Kwanini inakuwa hivi, makampuni makubwa ulimwenguni yanaipenda Kenya na makao yao makuu wanaweka Kenya na siyo nchi nyingine za Ukanda huu.

1. IBM

2. Google

3. Unilever

4. Facebook

5. BBC

6. Aljazeera
Haya yote ni makampuni ya mabeberu. Sisi na rais wetu wa wanyonge hatupendi mabeberu maana ni wanyonyaji sana. Watatuibia rasilimali zetu
 
Back
Top Bottom