Kwanini Makampuni makubwa duniani yanapenda kuweka Makao yao Makuu nchini Kenya kwa ukanda huu ?

Nimefanya kazi international NGOs kama 3 hivi zote Regional office ni Nairobi, Kenya
HQ Nairobi,Kenya.

Hili swali hata mimi nimeshajiuliza sana.
Tanzania tunataizo gani ati. Usalama?, Amani?, Sera za nchi?,Rasilimali watu?
Mkuu yaani ufanye kazi NGO tatu tofauti tena za kimataifa halafu usijue sababu ya hili ni nini?

Kweli sisi watanzania mda mwingine tuna ka uzembe ka kujitakia. Mbona hata google ungepata majibu?
 
Mkuu unaweza kutuambia ofisi hizo zina miaka mingapi kuwepo hapo
 
Mkuu unaweza kutuambia ofisi hizo zina miaka mingapi kuwepo hapo
Mengine yamefunguliwa miaka ya karibuni, mfano BBC mengine kitambo. Na mengine yanaendelea kufunguliwa kila mara.
 
Nimefanya kazi Mji wa Nairobi na Dar es Saalam.
1.Nairobi has great weather, 18 to 27 degrees all year, no extreme weather. Dar is too hot
2. Kila mtu anaongea au kuelewa Kingereza Nairobi. Kwa hivyo any foreigner can easily work, move around without wasting time kuelewana. Dar its Kiswahili and extra work has to be put to enable communication. Controversial but kiswahili locks out a section of population from current world trends, proffesional education like skills certification that people pursue on their own. Amani lakini mnabaki bila ujuzi kwa wale hawana bidii kujua kingereza, worse in Kampala.
3. Nairobians are known to be aggresive, less lazy and less blame game. Foreigner pushes hard for results Nairobians will do the work. Dar more likely watalia ubepari na ukoloni au foreigner anatunyanyasa na kukataa kazi
4. JKIA is a major hub. Connections to all over the world easily.
5. Much less hatred for foreigner in Kenya than many places in Africa. We see a mzungu we think more of money from them than mzungu amerudi kutunyanyasa. Policies na behaviour ya wakenya is more of attract the money than keep ukoloni away. Ukoloni imesaulika kabisa Nairobi.
5. Infrastructure. Dar mwaka jana nilishangaa kwamba wenyeji hawajui vitu kama fiber to the home for internet. Nairobi internet connection unapata kwa urahisi na bei nafuu. Barabara za tarmac ziko mpaka ndani ya surbubs lakini niliona Dar ukitoka general CBD, barabara haziko, vumbi tuu. Hospitals, malls, cinemas, parks for relaxing ziko mengi Nairobi.
 
Kweli nakuunga mkono huu upuuzi ufutwe, kama Google and Facebook HQs zipo Nairobi na kule Silicon Valley in the southern San Francisco kuna maegesho yao ya magari.
Itakua amekusudia HQ kwa hapa EAC
 
sure
 
Tuko pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Mtanzania tu wa kawaida ila katika kutafuta connection zangu hua naenjoy sana Nairobi kuliko Dar.

Nairobi watu wapo straight sana mishe ikiwa mezani discussion hua ni kuhusu kazi na kama jibu ni Yes kazi zinaanza fasta na kama ni NO hua ni NO kweli.

Hakuna mtu anayependa kuulizwa maswali ya personal kwenye maongezi ya biashara hili ni tatizo kubwa sana Dar na Tanzania kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…