Kwanini Makampuni Makubwa ya Gas na Madini hayapo soko la Hisa DSE tofauti na Ulaya

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kwanini Makampuni Makubwa yaliyowekeza nchi mbalimbali duniani ikiwemo Urusi, Ulaya, USA na China yameorodheshwa kwenye stock market za nchi husika Ila Tanzania Makampuni Makubwa ya Gesi na Madini hayapo, Tena mengine yanafanya kazi hapa lakini yapo kwenye masoko ya Hisa ya Ulaya.

Au mi mbumbumbu, wataalamu hakuna namna tunaweza kukuza soko letu au ndio tununue Hisa za kitapeli za Mr. Chicken

Wataalamu wa security market tufumbueni macho
 
S
Swali ulilo uliza ni zuri sana, Ila sema kwenye mada nzito za kiuchumi na uwekezaji sionagi muamko wa watu kuchangia.
 
There are only two viable stock exchange markets in Africa namely Johannesburg SE and Cairo SE. The sum total of the entire stock exchange business in African continent per annum is equivalent to one transaction in the NYSE. So arguing to have these multinational mining companies list in the DSE it is a misconception.

Watanzania wanaitumia DSE kama benki au social security fund. Mtu alinunua share za TBL mwaka 1997 zikiwa Tsh 200, ameziacha hivyo hivyo hadi atakapostaafu.

Biashara ya hisa ni soko kama la Tandale au Buguruni, watu wanauza na kununua ndiyo thamani ya soko na hisa inapotokea.
 
Wakubwa wamewekeza humo kwa expense ya fedha zetu
 
Sasa kama serikali haitilii mkazo makampuni kuwa listed DSE.
Na kama watu hawana uelewa unafkiri itakuwaje...!?
 
Sasa kama serikali haitilii mkazo makampuni kuwa listed DSE.
Na kama watu hawana uelewa unafkiri itakuwaje...!?
Ni kweli elimu inahitajika kuhusu namna soko la hisa linavyofanyq kazi
 
Ilikuwepo moja swala energies lakini imekuwa liquidated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…