Kwanini makampuni makubwa ya kimataifa yanayouza bidhaa za rejareja yanaondoka Tanzania?

Imagine mtu anaenda mlimani city pale games kushangaa tu hanunui hata tooth pick. Kweli watatoboa kweli hao wenye supermarket?

Wabongo wamezoea kununua vitu kwa Mangi tena kwa kukopa. Mambo ya Games, Shoprite, Nakumatt au Uchumi watayaweza wapi?
Familia nzima inahamia mule kwenda kupiga kiyoyozi siku nzima kupata relief ya joto la Dar bila kununua hata pipi! Lazima wafungashe.
 
Imagine mtu anaenda mlimani city pale games kushangaa tu hanunui hata tooth pick. Kweli watatoboa kweli hao wenye supermarket?

Wabongo wamezoea kununua vitu kwa Mangi tena kwa kukopa. Mambo ya Games, Shoprite, Nakumatt au Uchumi watayaweza wapi?
Kwani mamako huyu hajafungulia nchi?
 
Nchi hii si imeshafunguliwa na "Mama"?😁.

-Kuna maendeleo ya watu kwa sasa na si vitu tena kama awamu iliyopita.

-Pesa imerudishwa mitaani ilhali yule mwingine aliificha.

Kulikoni mambo bado yaleyale?
 
Back
Top Bottom