Kwanini makampuni makubwa ya kimataifa yanayouza bidhaa za rejareja yanaondoka Tanzania?

Middle class ni mtu mwenye kipato kuanzia USD 1200 kwa mwaka. Ambayo inachukuliwa kama kima cha chini kwa wafanyakazi wote.
 
Gharama za uendeshaji mkuu.....umeme ghali halafu haupatikani, maji ya shida pamoja na wizi....wabongo wapigaji sana....halafu pia purchasing power iko chini sana....watanzania wachache sana ambao wanaweza fanya shopping pale...
Ni kweli wizi na wakongo wenye uwezo wa kununua bidhaa ni mdogo mfano wa bidhaa kama pasi bei yake elfu 50 wakati pasi sehemu nyingine elf 40.
 
Shoppers kaweza wabana Wabongo maana Wahindi husimamia wenyewe
Pale Game wafanyakazi wanaiba sana ukiongea vizuri na walinzi unaweza kununua Ya Milioni moja kwa laki 3 tu .
 
Gharama za uendeshaji mkuu.....umeme ghali halafu haupatikani, maji ya shida pamoja na wizi....wabongo wapigaji sana....halafu pia purchasing power iko chini sana....watanzania wachache sana ambao wanaweza fanya shopping pale...
Hapa kwenye wizi nikweli sana watanzani wengi ni majizi sana
 
uchumi walitaka wasilipe kodi, nakumatt iliharibika kuanzia Kenya kwenyewe. Game Tanzania imekufa natural death kutokana na customer service mbovu
 
Gharama za uendeshaji mkuu.....umeme ghali halafu haupatikani, maji ya shida pamoja na wizi....wabongo wapigaji sana....halafu pia purchasing power iko chini sana....watanzania wachache sana ambao wanaweza fanya shopping pale...
Serikali na watu wake, wote wapigaji, shurti kufungasha!
 
Gharama za uendeshaji mkuu.....umeme ghali halafu haupatikani, maji ya shida pamoja na wizi....wabongo wapigaji sana....halafu pia purchasing power iko chini sana....watanzania wachache sana ambao wanaweza fanya shopping pale...
Pigia mstari hapo kwenye purchasing power. Wabongo tumezoea kununua kwenye viduka vya akina Mangi na magengeni kwa sababu middle class, ambao ndiyo walengwa wakuu wa supermarkets ndiyo wanaongoza kununua kwa Mangi na magengeni. Kingine kutokana na gharama za uendeshaji hapa nchini bei za bidhaa kwenye supermarkets ni kubwa kuliko kwa Mangi.
 
Kila nyumba ina kaframe nje.. nani ataenda Supermarket?
Nchi nyingi watu wanaenda fanya shopping sehemu rasmi za biashara kwa ajili ya wiki au mwezi, wanahifadhi. Kwetu, unatumwa chumvi kwa mangi mboga ipo dukani.
Kama supermarket bei ya bidhaa ingekuwa chini kuliko huko kwenye viduka vya akina Mangi watu wangeenda..
 
Mnaweza kuongea kisiasa lkn watanzania tunatoa upinzani mkali sana kwenye biashara!,ndio maana wageni uchwara wanakimbia wanaelekea kwenye nchi wananchi waliolala
 
Mmeongea vingi lakini mmesahau kitu kimoja. Hizo overpriced 'supermarket' sasa hivi zinapata upinzani mkubwa wa kibiashara kutoka kwa independent 'supermarkets' ambazo zimejaa mitaani siku hizi. Watu kama Jambo supermarket and the like wanakimbiza sana. Kwanini niende Game au shoprite mlimani city wakati mitaa ya karibu kuna supermarket nyingi tu za kawaida?
 
Mnaweza kuongea kisiasa lkn watanzania tunatoa upinzani mkali sana kwenye biashara!,ndio maana wageni uchwara wanakimbia wanaelekea kwenye nchi wananchi waliolala
Very good point.
 
kipindi cha jiwe, mzunguko wa pesa ulikuwa hakuna, alikata kila kitu, hayo makampuni hayakuwa na wateja, waliishi kiugumu sana. maza kidogo mzunguko wa pesa upo, ila jiwe aliharibu sana hii nchi in the name of kuijenga. hili halina ubishi. mama ana kazi kubwa kuita wawekezaji warudi na wapya waje, ila wengi walikimbia.
 
Ila ndiyo ukweli huo comrade
Acheni sasa kuzungumzia marehemu ambaye hawezi tena kurudi kuwasaidia. Zungumzieni way forward kwa waliopo au mnachoweza kufanya nyie mlioko hai.
 
Hawa wanajiondoa nchi zote za afrika mashabiki kuanzia Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda nk
Ni kama Hao shoprite walivyofunga, waliondoka nchi zote za afrika mashariki
Sidhani ni kama suala la Tanzania kua na gharama au kukosa wateja.
Unaweza kulinganisha uwingi wa supermarkets Kenya na Tanzania?
 
Mnaweza kuongea kisiasa lkn watanzania tunatoa upinzani mkali sana kwenye biashara!,ndio maana wageni uchwara wanakimbia wanaelekea kwenye nchi wananchi waliolala
Si kweli, hatuna pesa jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…