Kwanini makampuni makubwa ya kimataifa yanayouza bidhaa za rejareja yanaondoka Tanzania?

Hata kampuni za online retail kama Jumia ilishindwa kuoperate bongo for similar reasons. So ukitaka kuuza successfully, uza vitu ambavyo havipatikani kwa Mangi. Mfano electronic gadgets..
 
boss,tatizo hamna pesa mfukoni mwa raia,ndo manake unaona ata panya road wamerudi
 
Acheni sasa kuzungumzia marehemu ambaye hawezi tena kurudi kuwasaidia. Zungumzieni way forward kwa waliopo au mnachoweza kufanya nyie mlioko hai.
Mkuu marehemu hawezi kujitetea that so why unaona vitu like this, ukiona kitu kama hiki ujue kuna sehemu hapako sawa.
 
Unaweza kulinganisha uwingi wa supermarkets Kenya na Tanzania?
Out of point
Hoja Sio wingi, wanaongelea kuhusu hayo makampuni kufunga biashara zao kwa nchi zote za afrika mashariki
Ni kwamba wanafunga matawi yao kwa nchi zote za afrika ya mashariki
Hilo la wingi ni suala lingine
 
.
Tukitaka bidhaa tunaenda kwa mangi au gengeni kwasababu uchumi wa mtu mmoja mmoja bado ni mdogo sana.
.
Pato la mtu mmoja mmoja ni $1k kwa mwaka, unaenda supermarket kununua nini wakati hela ya kula tu ni tatizo?! Mambo ya supermarket tuwaachie wazungu, Tz bado sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…