Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote
Najiuliza
Makanisa yaliyojitenga yakipinga mafundisho yanayoenda kinyume na maandiko ya Kanisa la Katoliki ndiyo kwa sasa yanaongoza kwa mambo yasiyompendeza Mungu:
Manabii na Mitume feki, Kashfa za mauaji, Imani za Ushirikina, Mifarakano ya kifamilia, Migogoro isiyoisha ya Viongozi wa kiroho inayotokana na maslahi binafsi n.k
Nilitarajia makanisa haya yangekuwa mfano wa kuigwa kiroho lakini imekuwa kinyume chake kabisa
Naomba fahamu sababu za Msingi zinazopelekea hali hiyo kwa makanisa hayo yanayodai kuongozwa na roho Mtakatifu
Niwatakie sabato njema wapendwa
Niwatakie sabato njema sana