Kwanini makanisa yanakusanya sadaka wakati hayalipi kodi na wala hayawakopeshi waumini ili wajikwamue kiuchumi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kanisani kuna watu wana hali ngumu sana kifedha, ufukara umewajaa, Hawana chakula, nguo, makazi ya uhakika, Hawana vyanzo rasmi vya mapato, yaani full dhiki.

Hawa watu ni waaminifu sana mbele za Mungu, wanatoa hela zao zote walizochukua nazo, Mwamposa akiwaambia wajipukutishe, hata nauli ya kurudia home wanaiacha madhabahuni.

Katika kidogo chao ni waaminifu hivyo, je kwanini kanisa losiwasaidie kuwawezesha kiuchumi ili waboreshe maisha yao na maisha yao yakiboreka hata matoleo ya watu hawa yataongezeka.

Kanisa litafaidika zaidi.

Siri ya utajiri ni ubahili
 
Misikiti haikusanyi pesa? Shule hazikusanyi pesa? Hospital hazikusanyi pesa?

Mtolee Mungu Dhabihu, Za Kushukuru/
Mtimizie aliye juu, nadhiri zako.

Ukaniite siku ya mateso yako/
Nitakuokoa na wewe utanitukuza.
 
Kanisani kuna watu wana hali ngumu sana kifedha, ufukara umewajaa, Hawana chakula, nguo, makazi ya uhakika, Hawana vyanzo rasmi vya mapato, yaani full dhiki.

Hawa watu ni waaminifu sana mbele za Mungu, wanatoa hela zao zote walizochukua nazo, Mwamposa akiwaambia wajipukutishe, hata nauli ya kurudia home wanaiacha madhabahuni.

Katika kidogo chao ni waaminifu hivyo, je kwanini kanisa losiwasaidie kuwawezesha kiuchumi ili waboreshe maisha yao na maisha yao yakiboreka hata matoleo ya watu hawa yataongezeka.

Kanisa litafaidika zaidi.

Siri ya utajiri ni ubahili
Yaani mwamposa atoe sehemu ya makusanyo yake awape hao wajinga ambao kwa hiyari yao wameamua kumpelekea madhabahuni? Aache kuwekeza kwenye miradi yake mikubwa kama mahotel, mashule, baa na maguest na nyingine kuwaonga ccm ili wasimkwamishe kwenye deals zake awape masikini?

Hawezi fanya huo ujinga mwampox
 
Dr shoo ,akijibu hili swali unitag!
 
Wala hawatoi misaada kwenye vituo vya kulelea watoto yatima, wazee na watu wanaoishi kwenye mazingira magumu.
Kiujumla hawa ni matapeli.
 
Yaani mwamposa atoe sehemu ya makusanyo yake awape hao wajinga ambao kwa hiyari yao wameamua kumpelekea madhabahuni? Aache kuwekeza kwenye miradi yake mikubwa kama mahotel, mashule, baa na maguest na nyingine kuwaonga ccm ili wasimkwamishe kwenye deals zake awape masikini?

Hawezi fanya huo ujinga mwampox
Yes, Jesus paid taxes, according to the Bible. In Matthew 17:24-27, Jesus and his disciples were in Capernaum when tax collectors asked Peter if Jesus paid the Temple tax. Jesus then told Peter to go fishing and find a coin in the first fish he caught to pay the tax.
Makanisa Kutolipa kodi kwa KAIZARI ni uhuni/dhambi, ndani ya makanisa kuna utajiri na ubadhirifu zaidi ya vitengo vya serikalini. Mimi sitoi sadaka kanisani!, kuna njia tofauti za kutoa sadaka kihalali na ikabarikiwa na Mungu, kuliko kuwakabidhi wahuni wa madhabahuni:ppOverheat:
 
Makanisa yanakusanya sadaka, hayalipi kodi, Ikiwa ni Roma zaidi ya nusu ya Sadaka anapelekewa Papa, ikiwa SDA sehemu kubwa ya makusanyo yanapelekwa Marekani makao makuu ya SDA, ikiwa na Anglikana sehemu kubwa ya sadaka inapelekwa Uingereza, the same na Anglikan, Mononite na organized churches zote hupeleka makusanyo kwa watu wa ulaya.

Ndio maana mimi nawapongeza kina Mwamposa, Kakobe na wenzao, wao wanapiga sadaka na kuzikula hapa hapa Bongo, angalau zinarudi kuboresha uchumi wa nchi kuliko kuwapelekea wazungu huko wamekaa wanasubiri sadaka kutoka Afrika wale na familia zao.

Dini zinavyopumbaza utakuta mkatoliki anasmhsngaa muumini wa Mwamposa kwamba mwamposa anakula sadaka anasahau kwamba yeye anatuza wazee wa kizungu kina Papa ma makadinali wengine ulaya wamekaa kwenye viti vya kunesanesa yeye ndio nawatunza.

Dini hukusanya sadaka na kupeleka ulaya halafu wanachanisha waumini wajenge shule ama hospitali, zikikamilika tu kuanza kutoa huduma, waliochangia hawawezi kutibiwa bure ama watoto wao kusoma bure kwa shule walizojenga wao, hizo shule ama hospitali zitatoza adama ama gharama kubwa ambayo muumini aliechangia kuijenga hataweza kumudu. Huu ni wizi kwa mgongo wa dini.

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
 
Dini ni ulaghai na utapeli ndo walishiliki kwenye utumwa Hawa washenzi
 
Kanisa linaisaidia serikali kuleta amani na utulivu pia kutoa huduma ilizopaswa serikali kutoa.
Pote huko Panataka pesa
 
Kanisani kuna watu wana hali ngumu sana kifedha, ufukara umewajaa, Hawana chakula, nguo, makazi ya uhakika, Hawana vyanzo rasmi vya mapato, yaani full dhiki.

Hawa watu ni waaminifu sana mbele za Mungu, wanatoa hela zao zote walizochukua nazo, Mwamposa akiwaambia wajipukutishe, hata nauli ya kurudia home wanaiacha madhabahuni.

Katika kidogo chao ni waaminifu hivyo, je kwanini kanisa losiwasaidie kuwawezesha kiuchumi ili waboreshe maisha yao na maisha yao yakiboreka hata matoleo ya watu hawa yataongezeka.

Kanisa litafaidika zaidi.

Siri ya utajiri ni ubahili
Hehehe
 
Makanisa yanakusanya sadaka, hayalipi kodi, Ikiwa ni Roma zaidi ya nusu ya Sadaka anapelekewa Papa, ikiwa SDA sehemu kubwa ya makusanyo yanapelekwa Marekani makao makuu ya SDA, ikiwa na Anglikana sehemu kubwa ya sadaka inapelekwa Uingereza, the same na Anglikan, Mononite na organized churches zote hupeleka makusanyo kwa watu wa ulaya.

Ndio maana mimi nawapongeza kina Mwamposa, Kakobe na wenzao, wao wanapiga sadaka na kuzikula hapa hapa Bongo, angalau zinarudi kuboresha uchumi wa nchi kuliko kuwapelekea wazungu huko wamekaa wanasubiri sadaka kutoka Afrika wale na familia zao.

Dini zinavyopumbaza utakuta mkatoliki anasmhsngaa muumini wa Mwamposa kwamba mwamposa anakula sadaka anasahau kwamba yeye anatuza wazee wa kizungu kina Papa ma makadinali wengine ulaya wamekaa kwenye viti vya kunesanesa yeye ndio nawatunza.

Dini hukusanya sadaka na kupeleka ulaya halafu wanachanisha waumini wajenge shule ama hospitali, zikikamilika tu kuanza kutoa huduma, waliochangia hawawezi kutibiwa bure ama watoto wao kusoma bure kwa shule walizojenga wao, hizo shule ama hospitali zitatoza adama ama gharama kubwa ambayo muumini aliechangia kuijenga hataweza kumudu. Huu ni wizi kwa mgongo wa dini.

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
Kwamba papa anasubili sadaka iliyochngwa mbagala kimbangulile ili anesenese kwenye kiti?
 
Ingekuwa n uwezo wangu, taasisi zote za kidini zingelipa kodi.
 
Makanisa yanakusanya sadaka, hayalipi kodi, Ikiwa ni Roma zaidi ya nusu ya Sadaka anapelekewa Papa, ikiwa SDA sehemu kubwa ya makusanyo yanapelekwa Marekani makao makuu ya SDA, ikiwa na Anglikana sehemu kubwa ya sadaka inapelekwa Uingereza, the same na Anglikan, Mononite na organized churches zote hupeleka makusanyo kwa watu wa ulaya.

Ndio maana mimi nawapongeza kina Mwamposa, Kakobe na wenzao, wao wanapiga sadaka na kuzikula hapa hapa Bongo, angalau zinarudi kuboresha uchumi wa nchi kuliko kuwapelekea wazungu huko wamekaa wanasubiri sadaka kutoka Afrika wale na familia zao.

Dini zinavyopumbaza utakuta mkatoliki anasmhsngaa muumini wa Mwamposa kwamba mwamposa anakula sadaka anasahau kwamba yeye anatuza wazee wa kizungu kina Papa ma makadinali wengine ulaya wamekaa kwenye viti vya kunesanesa yeye ndio nawatunza.

Dini hukusanya sadaka na kupeleka ulaya halafu wanachanisha waumini wajenge shule ama hospitali, zikikamilika tu kuanza kutoa huduma, waliochangia hawawezi kutibiwa bure ama watoto wao kusoma bure kwa shule walizojenga wao, hizo shule ama hospitali zitatoza adama ama gharama kubwa ambayo muumini aliechangia kuijenga hataweza kumudu. Huu ni wizi kwa mgongo wa dini.

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine.
Yaani eti wazungu wategemee sadaka Toka Africa.?Kwa kanisa katoliki linamiliki shirika la kuhudumia wakimbizi Dunia Pana caritas,Pana Christian Refugee aid nk haya yanachangiwa ili kuendesha kazi za kusaidia wakimbizi na jamii masikini Dunia mzima.
Ujui kwamba Pana makanisa yanalisha chakula watu masikini na kutoa mavazi nk
 
Kanisa kwa mfano wa mwamposa unakosea, mwamposa hana kanisa.wale waumini pale wapo tuition baada ya kutoka kwenye makanisa yao
definition ya church siyo physical structure, ila ni mfumo/mkusanyiko (congregation), na hata Yesu wakati akifanya uinjilisti alilipa kod, ingawa hakuwa na jengo linloitwa kanisa, ila alikuwa na congregation
 
je kwanini kanisa losiwasaidie kuwawezesha kiuchumi
linawasaidia mbona, wao wanaona hivyo

sadaka si njia ya kumkumbusha mungu atimize ahadi zake? si ndivyo wakristo wanavyoamini?

au unataka kusema mungu hawezi kuwasaidia?

si mnasema "sadaka ni mbegu?" na kwamba "ukitoa kwa moyo lazima ubarikiwe?"
 
Back
Top Bottom