MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Dr Shoo is nothing compared to Kimaro. Huyu Kimaro ndo baba lao kwenye ishu za pesa.Dr shoo ,akijibu hili swali unitag!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr Shoo is nothing compared to Kimaro. Huyu Kimaro ndo baba lao kwenye ishu za pesa.Dr shoo ,akijibu hili swali unitag!
Huyu nae, watu wa zamani walipotosha watu Kama wewe unavyofanya.
Yesu hakuwahi kuwa kuhani wa hekalu, Yesu alikuja kuhubiri injili Kwa kila mtu, hakufanya hivyo hekaluni tu, alifanya hivyo mabarabarani,milimani yaani kila alipopita na hakuna ambaye alikuwa akitoa sadaka, sadaka zilikuwa zinatolewa hekaluni.
Pesa zinatoka wapi?Yaani eti wazungu wategemee sadaka Toka Africa.?Kwa kanisa katoliki linamiliki shirika la kuhudumia wakimbizi Dunia Pana caritas,Pana Christian Refugee aid nk haya yanachangiwa ili kuendesha kazi za kusaidia wakimbizi na jamii masikini Dunia mzima.
Ujui kwamba Pana makanisa yanalisha chakula watu masikini na kutoa mavazi nk
Ndiyo.Kwamba papa anasubili sadaka iliyochngwa mbagala kimbangulile ili anesenese kwenye kiti?
Hiyo exception haina maana wapiga sana hela, mfano Roman Catholic na makanisa mengine, wana miradi mingi ambayo ni profit making, walipishwe kodi kama taasisi zingineHuduma bora haiondoi ukweli kwamba wanafanya biashara na wanachaji bei za juu sana, hivyo faida wanayoingiza ni kubwa! tulitarajia basi Kwa sbb wana exemption ya kodi, basi watoe huduma Kwa gharama za chini au hata bure Kwa Yale makundi maalum.
Kwa wachangiaji mbalimbaliPesa zinatoka wapi?
Makanisa/taasisi za dini wanafanya profit making business na sadaka ndyo zinakuwa channeled huko kama mtaji, kwa nini wasilipe kodi, haimaanishi kuwe na VAT kwa kila anayetoa sadakaSadaka ilishashindikanika kutozwa kodi, hakuna sheria wala msingi "grounds" unaowezesha sadaka kutozwa kodi mkuu. Kodi msingi wake ni faida (profit) sio offerings na sacrifices.
Hapo ndo wajanja wa makanisa walipojificha na kutupiga.
Kanunua eneo Mwenge kwa bilioni tano, pasaka anazIndua ibadaHao wajinga acha wapigwe tu. Hayo makanisa yana mchango mkubwa kwa utulivu na amani ya nchi hii. Hizo ng'ombe za kina Mwamposa zikiachwa zijitambue zitasumbua. Naona pia Pastor Kapola naye ana misukule yake ya kutosha.
Profit Making Businesses zinatozwa kodi. Kama kanisa ina mgahawa, shule au hospital inatozwa kodi. Sadaka, michango na matoleo hayatozwi kodi. Hakuna sheria inayoweza kutoza hayo maeneo. Rwanda pamoja na kuwa na strictly tax laws lakini makanisa walishashindwa kuyatoza kodi kwa kukosa sheria ya kutoza eneo hilo.Makanisa/taasisi za dini wanafanya profit making business na sadaka ndyo zinakuwa channeled huko kama mtaji, kwa nini wasilipe kodi, haimaanishi kuwe na VAT kwa kila anayetoa sadaka
Kapola?Kanunua eneo Mwenge kwa bilioni tano, pasaka anazIndua ibada
Ndio, huyohuyoKapola?
Sadaka huhesabiwa, na makanisa mengine hutangaza matoleo yote ya wiki. Kodi zinaanza hapo kuwa estimated.Pia utajuaje sadaka nani katoa ngapi na wamepata vipi. Huwezi kadiria sadaka ni ngumu.
Sadaka na matoleo hayawezi kutozwa kodi Mkuu, sadaka ilishajificha sana haieleweki kama ni pato, ni faida wala nguvukazi. Wanaweza kuanzisha ushuru flani unaotokana na kuwa na kanisa lakini hawawezi kutoza kodi moja kwa moja kwenye matoleo na sadaka.Sadaka huhesabiwa, na makanisa mengine hutangaza matoleo yote ya wiki. Kodi zinaanza hapo kuwa estimated.