The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Alilipa Kodi kama mtu binafsi na sio taasisi,mchango wa taasisi za kidini kwa jamii ni zaidi ya Kodi.definition ya church siyo physical structure, ila ni mfumo/mkusanyiko (congregation), na hata Yesu wakati akifanya uinjilisti alilipa kod, ingawa hakuwa na jengo linloitwa kanisa, ila alikuwa na congregation
hayo ni majukumu ya hiyari, pamoja na hayo wanatakiwa kulipa kodi, kuhusu kodi Yesu alisema “Give to Caesar what is Caesar's, and to God what belongs to God” is a quote from the Bible in which Jesus responds to the Pharisees' question about paying taxes to Caesar.Yaani eti wazungu wategemee sadaka Toka Africa.?Kwa kanisa katoliki linamiliki shirika la kuhudumia wakimbizi Dunia Pana caritas,Pana Christian Refugee aid nk haya yanachangiwa ili kuendesha kazi za kusaidia wakimbizi na jamii masikini Dunia mzima.
Ujui kwamba Pana makanisa yanalisha chakula watu masikini na kutoa mavazi nk
Lipa Kodi kama mtu binafsihayo ni majukumu ya hiyari, pamoja na hayo wanatakiwa kulipa kodi, kuhusu kodi Yesu alisema “Give to Caesar what is Caesar's, and to God what belongs to God” is a quote from the Bible in which Jesus responds to the Pharisees' question about paying taxes to Caesar.
Wakimbizi Duniana nzima wanatoka wapi? Wakimbizi wako nchi chache kama sudani, Congo, Mali na Gaza. Hizo nchi nyingine ambazo shirika la wakimbizi Duniani linawahudumia wako wapi?Yaani eti wazungu wategemee sadaka Toka Africa.?Kwa kanisa katoliki linamiliki shirika la kuhudumia wakimbizi Dunia Pana caritas,Pana Christian Refugee aid nk haya yanachangiwa ili kuendesha kazi za kusaidia wakimbizi na jamii masikini Dunia mzima.
Ujui kwamba Pana makanisa yanalisha chakula watu masikini na kutoa mavazi nk
Huo ni utapeli, Biblia ipi inasema hela ni mbegu?linawasaidia mbona, wao wanaona hivyo
sadaka si njia ya kumkumbusha mungu atimize ahadi zake? si ndivyo wakristo wanavyoamini?
au unataka kusema mungu hawezi kuwasaidia?
si mnasema "sadaka ni mbegu?" na kwamba "ukitoa kwa moyo lazima ubarikiwe?"
Sadaka zina kuwa transformed into business for profit, kwa nini wasilipe kodi kama Jesus alivyosema bila exception-“Give to Caesar what is Caesar's, and to God what belongs to God”Alilipa Kodi kama mtu binafsi na sio taasisi,mchango wa taasisi za kidini kwa jamii ni zaidi ya Kodi.
Pia sadaka sio mapato.
Kodi ni mapato asilimia ya KAZI fulani
Jesus mwenyewe alilpa kodi wakati anfanya kazi ya kuhubiri habari njemaLipa Kodi kama mtu binafsi
Naunga mkono hoja ya kutotoa SADAKA madhabahuni, kinyume chake naenda moja Kwa moja Kwa wahitaji.Yes, Jesus paid taxes, according to the Bible. In Matthew 17:24-27, Jesus and his disciples were in Capernaum when tax collectors asked Peter if Jesus paid the Temple tax. Jesus then told Peter to go fishing and find a coin in the first fish he caught to pay the tax.
Makanisa Kutolipa kodi kwa KAIZARI ni uhuni/dhambi, ndani ya makanisa kuna utajiri na ubadhirifu zaidi ya vitengo vya serikalini. Mimi sitoi sadaka kanisani!, kuna njia tofauti za kutoa sadaka kihalali na ikabarikiwa na Mungu, kuliko kuwakabidhi wahuni wa madhabahuni
Ni moja ya kazi za sadaka.Wakimbizi Duniana nzima wanatoka wapi? Wakimbizi wako nchi chache kama sudani, Congo, Mali na Gaza. Hizo nchi nyingine ambazo shirika la wakimbizi Duniani linawahudumia wako wapi?
Sasa kama wahasubiri Sadaka toka Afrika, hua wanazopelekewa zinaenda wapi ama kwa nini wapelekewe sadaka zinazokusanywa kutoka Afrika?
Alifnya hivyo kuonyesha utii kwa mamlaka za kidunia.Jesus mwenyewe alilpa kodi wakati anfanya kazi ya kuhubiri habari njema
Taasisi za kidini zinavuna hela nyingi kupitia michango ya kikanisa na miradi mbalimbali ya kanisa ambayo inatoa huduma Kwa kuchaji gharama za juu sana, mfn ktk hospitali na mashule.. ni sahihi zilipe kodi, maana hautuoni zikihudumia wahitaji Bure mahala popote!Alilipa Kodi kama mtu binafsi na sio taasisi,mchango wa taasisi za kidini kwa jamii ni zaidi ya Kodi.
Pia sadaka sio mapato.
Kodi ni mapato asilimia ya KAZI fulani
Kuna msikiti mmoja nilisikia wanataka kurogana kwasababu ya sadaka za waumini.Kanisani kuna watu wana hali ngumu sana kifedha, ufukara umewajaa, Hawana chakula, nguo, makazi ya uhakika, Hawana vyanzo rasmi vya mapato, yaani full dhiki.
Hawa watu ni waaminifu sana mbele za Mungu, wanatoa hela zao zote walizochukua nazo, Mwamposa akiwaambia wajipukutishe, hata nauli ya kurudia home wanaiacha madhabahuni.
Katika kidogo chao ni waaminifu hivyo, je kwanini kanisa losiwasaidie kuwawezesha kiuchumi ili waboreshe maisha yao na maisha yao yakiboreka hata matoleo ya watu hawa yataongezeka.
Kanisa litafaidika zaidi.
Siri ya utajiri ni ubahili
Huduma bora ni lazima iwe juu gharama mwalimu asipolipwa vizuri watoto watasomajeTaasisi za kidini zinavuna hela nyingi kupitia michango ya kikanisa na miradi mbalimbali ya kanisa ambayo inatoa huduma Kwa kuchaji gharama za juu sana, mfn ktk hospitali na mashule.. ni sahihi zilipe kodi, maana hautuoni zikihudumia wahitaji Bure mahala popote!
Maandiko matakatifu hayajatoa hiyo exception ya kulipa kodi kwa KAIZARI (SERIKALI), ila maandiko yamesisitiza kulipa kodi without exceptionNi moja ya kazi za sadaka.
Na zinachangiwa toka mabara yake.
Sadaka hailiwi hovyo hovyo ina maagizo yake.
Shida mnachukua taasisi za mtu binafsi kisha ndio iwe definition ya Ukristo wote.
Pana taasisi ambazo mmiliki wake akifa ndo mwisho kama hizo
Huyu nae, watu wa zamani walipotosha watu Kama wewe unavyofanya.Yes, Jesus paid taxes, according to the Bible. In Matthew 17:24-27, Jesus and his disciples were in Capernaum when tax collectors asked Peter if Jesus paid the Temple tax. Jesus then told Peter to go fishing and find a coin in the first fish he caught to pay the tax.
Makanisa Kutolipa kodi kwa KAIZARI ni uhuni/dhambi, ndani ya makanisa kuna utajiri na ubadhirifu zaidi ya vitengo vya serikalini. Mimi sitoi sadaka kanisani!, kuna njia tofauti za kutoa sadaka kihalali na ikabarikiwa na Mungu, kuliko kuwakabidhi wahuni wa madhabahuni
Huduma bora haiondoi ukweli kwamba wanafanya biashara na wanachaji bei za juu sana, hivyo faida wanayoingiza ni kubwa! tulitarajia basi Kwa sbb wana exemption ya kodi, basi watoe huduma Kwa gharama za chini au hata bure Kwa Yale makundi maalum.Huduma bora ni lazima iwe juu gharama mwalimu asipolipwa vizuri watoto watasomaje
Watoa huduma wata waajiri bure? Madawa na vifaa watapewa bureHuduma bora haiondoi ukweli kwamba wanafanya biashara na wanachaji bei za juu sana, hivyo faida wanayoingiza ni kubwa! tulitarajia basi Kwa sbb wana exemption ya kodi, basi watoe huduma Kwa gharama za chini au hata bure Kwa Yale makundi maalum.
Haiwezekani kanisa likawawezesha kiuchumi ili kuboresha maisha yao maana wataacha kwenda kanisani.Kanisani kuna watu wana hali ngumu sana kifedha, ufukara umewajaa, Hawana chakula, nguo, makazi ya uhakika, Hawana vyanzo rasmi vya mapato, yaani full dhiki.
Hawa watu ni waaminifu sana mbele za Mungu, wanatoa hela zao zote walizochukua nazo, Mwamposa akiwaambia wajipukutishe, hata nauli ya kurudia home wanaiacha madhabahuni.
Katika kidogo chao ni waaminifu hivyo, je kwanini kanisa losiwasaidie kuwawezesha kiuchumi ili waboreshe maisha yao na maisha yao yakiboreka hata matoleo ya watu hawa yataongezeka.
Kanisa litafaidika zaidi.
Siri ya utajiri ni ubahili
Hao wajinga acha wapigwe tu. Hayo makanisa yana mchango mkubwa kwa utulivu na amani ya nchi hii. Hizo ng'ombe za kina Mwamposa zikiachwa zijitambue zitasumbua. Naona pia Pastor Kapola naye ana misukule yake ya kutosha.Kanisani kuna watu wana hali ngumu sana kifedha, ufukara umewajaa, Hawana chakula, nguo, makazi ya uhakika, Hawana vyanzo rasmi vya mapato, yaani full dhiki.
Hawa watu ni waaminifu sana mbele za Mungu, wanatoa hela zao zote walizochukua nazo, Mwamposa akiwaambia wajipukutishe, hata nauli ya kurudia home wanaiacha madhabahuni.
Katika kidogo chao ni waaminifu hivyo, je kwanini kanisa losiwasaidie kuwawezesha kiuchumi ili waboreshe maisha yao na maisha yao yakiboreka hata matoleo ya watu hawa yataongezeka.
Kanisa litafaidika zaidi.
Siri ya utajiri ni ubahili