Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Nayeye hajasikitishwa wala kuguswa na kifo cha ubavu wa mama yetu kipenzi au nini tatizo?
Unajua nini mkuu?Dhamiri (conscience) inamsumbua, maana tunajua...
Unanikumbusha tulipokuwa watoto, ningesema "nilonge nisilonge? Mwenzenu Makonda, mchumba wake, ni..."Unajua nini mkuu?
Bhahahahaa kwamba kamgonga?Unanikumbusha tulipokuwa watoto, ningesema "nilonge nisilonge? Mwenzenu Makonda, mchumba wake, ni..."
Kwani alishaenda?Muwe mnafuatilia mambo kabla ya kuanzisha mijadala
Labda kama sio makonda huyu.
Alienda?Hivi kwani mtu lazima kuanzisha uzi? Wakati mwingine mtu unaonekana sio mfuatiliaji wa mambo
Ila watu dah! Khakhakhaaa
Wewe jamaa bhana na picha zilitumwa kibao yupo huko..Kwani alishaenda?
Alikula mzigo?Wewe jamaa bhana na picha zilitumwa kibao yupo huko..
Ok okBaada ya Eda,ili akamle
Una utimamu wa akili?Alikula mzigo?
Malezi ya mtaani haya...Alikula mzigo?