Nafikiri lengo halikuwa kubeba cement tu na abiria pia wa ukanda huo... ni muda sahihi na rahisi zaidi kuhamisha kiwanda cha saruji kuliko raia. By the way kiwanda kilipo kwa sasa sio mahali sahihi. Kipelekwe maporini huko same to TBL na hata kambi za jeshi maeneo ya Mwenge to Kawe zihamishwe maeneo yale yabaki kwa matumizi mengine ya serikali.
Sehemu kubwa ya jiji inaweza kuhamishiwa maeneo yale kwa executive order itakayopangua order ya awali kwamba jiji la Dar ni Ilala.
... japo ripoti inasema lengo ni kuifikisha reli kiwandani Wazo; ripoti iko very specific.Nafikiri lengo halikuwa kubeba cement tu na abiria pia wa ukanda huo