Kwanini mama kizmkazi anatumia sana ndege kwenye kampeni, wakati Magufuli alitumia magari tu?

Kwanini mama kizmkazi anatumia sana ndege kwenye kampeni, wakati Magufuli alitumia magari tu?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,977
Reaction score
67,600
Kwanini mama kizmkazi anatumia sana ndege kwenye kampeni wakati Magufuli alitumia magari njia kwa njia ila yeye ndege tu ubadhirifu huu
 
Hakuana kampeni mwaka huu kuna maigizo kuna ufujaji wa mari za umma na utakatishaji wa pesa kwa kisingizio cha kampeni.
Pesa ina mwagika nataman kuwa kwenye kampen af siku ya kupiga kura sipo
 
Nyumbu wakikosa kazi ya kusafisha nnya ya lissu bwana, ndo huzioiodo kuwa wajinga wajinga.
 
Back
Top Bottom