Kwanini mama kizmkazi anatumia sana ndege kwenye kampeni, wakati Magufuli alitumia magari tu?

Kwanini mama kizmkazi anatumia sana ndege kwenye kampeni, wakati Magufuli alitumia magari tu?

Leo kuna kija wa mfumo ni kutana nae nae ananiuliza swali la kunijaza kwenye mfumo kuona niko upande gani 😂😂😂
 
Na ule mwendo kama "Oswald Cobblepot a.k.a The penguin" wa Gotham wakisema watembee nae mchakamchaka wa kikamanda ataanguka hoi kwa kampeni ya masaa matatu tu.
 
Back
Top Bottom