Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.

Au kanuni zimeshabadilika
 
Wakati tunaongelea sheria ya goli la ugenini kuondolewa UEFA tusiusahau pia mchango wa Arsene Wenger katika hilo.
 
mpira anafatilia ila kanuni za mashindano ndio hafatilii
Mpira unajumuisha mambo yote yanayohusiana nayo. Kanuni ndio zinazoleta ladha ya mpira. Sasa usipozijua kanuni ambazo ni popular huwezi kusema unafuatilia.

Huwezi kuniambia ninauelewa na Bunge halafu sijui wabunge wanapatikanaje.

Kanuni ya away goal kuondolewa ilikuwa popular kama ambayo penalties shootout, haiwezekani ashindwe kuijua kama anafuatilia mpira vizuri
 
Atakuwa alikuwa jela, jela chaneli ni tbc tu
 
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.

Au kanuni zimeshabadilika
Huko siyo Afrika ujinga umewajaa watu.
 
Back
Top Bottom