Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

Kwanini Man City atolewe wakati alipata goli nyingi ugenini?

Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.

Au kanuni zimeshabadilika
Kanunu zilishabadilishwa mkuu
 
Nikiwa kama Man Real Madrid nawashukuru sana man city kwa kosa walilofanya la kutotula kichwa mpaka tumewala wakiwa hawaamini.
 
Sheria ya goli la ugenini ilifutwa na UEFA kwa mwaka huu
So mwaka huu tangu mashindano ya UEFA msimu uliopita hakuna advantage ya goli la ugenini kama ilivokua kombe la dunia miaka ileee taifa lililokua linaanda mashindano lilkua linaanzia robo fainali🤞🏽
 
Wakati tunaongelea sheria ya goli la ugenini kuondolewa UEFA tusiusahau pia mchango wa Arsene Wenger katika hilo.
Bora lingebaki tu,game ya kwanza imeisha 3-3 Yani kwa lugha nyingine Kama wametoka 0-0 tu,Ina maana gani??tupambane ugenini tupate 3 halafu tunarudi home tunaanza na 0??
 
wenger apewe maua yake kwa kuipigia kelele uefa mpaka ikaachana na ujinga wa away goal.

Nani ataipigia kelele caf iachane na huo ujinga pia?
Kiukweli mi mwnyw nilipinga, ila Sasa tunashuhudia mpira wa kibabe kwelikweli, sio kucheza kihuni huni
 
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani.

Au kanuni zimeshabadilika
We hujui mpira..endelea kufwatilia simba na yanga
 
UEFA sio Afrika na ujinga wenu wa hovyo.
 
We hujui mpira..endelea kufwatilia simba na yanga
Hakika maisha magumu sana na yanaleta hasira. Yaani ulivyojibu kwa mahasiri utafikiri nilikutukana.
 
UEFA sio Afrika na ujinga wenu wa hovyo.
hata uefa wamefanya huo ujinga miaka mingi tu, sema watu wenye akili wakaupigia kelele huo ujinga uefa wakaachana nao, kimsingi sioni mantik ya caf kuendelea kung'ang'ana na upuuzi unaoitwa away goal sijui, mtu apite kwa alichovuna sio kwa upendeleo wa fvckn away goal
 
Away goals rule scrapped by UEFA
Screenshot_20240418-171557.png
 
Back
Top Bottom