Kiufupi huko Mambele hawayaki ushindi wa kanuni, ushindi wa makaratasi. Yaani tumetoka 3-3 unaniambia nimetoka na mzani umebalansi.Bora lingebaki tu,game ya kwanza imeisha 3-3 Yani kwa lugha nyingine Kama wametoka 0-0 tu,Ina maana gani??tupambane ugenini tupate 3 halafu tunarudi home tunaanza na 0??
Kumbe, hata mimi hili swali nimejiuliza sana baada ya man city kutolewa, nikakosa jibu, kumbe sheria imebadilika.Uefa kuanzia mwaka Jana kama sikosei walishafuta ujinga wa goli la ugenini
Unajua hata kuwa na majibu mazuri kwa mtu asiyejua ni jambo jema mbele ya Allah.Hapo kukujibu ni sawa na kukuambia Rais wa Tanzania ni nani.
ila ingeanza Africa kuweka hizo kanuni ungesema mpira wetu hauna ladhaHuko siyo Afrika ujinga umewajaa watu.
Hii game walitusua dk ya 96(AET) kwa aggregate pale Bernabeu baada ya Chelsea kuongoza kwa 3 - 0 hadi dk ya 79, then wakapaki Bus. Chelsea ilikuwa kwenye ubora ila ilizidiwa mbinu.Really Madrid bwana, wanajua wanachotaka kwenye boli.
Halafu mtu anaposti kabisa humuJitahidi kufuatilia mpira
Yanga Ina kuwasha sanaHuwezi badilisha kubali kuwa wametoka, bila shaka we ni mwanayanga
mnapenda sana kutia huruma.