kwanini manamke hawezi kukojoa uku anatembea?

kwanini manamke hawezi kukojoa uku anatembea?

Kama mkojo umekubana inawezekana. Ila mimi nikiwa nimejilaza hata kama nimebanwa na mkojo nikijilazimisha kukojoa mkojo hautoki
Ukijaribu utafanikiwa, ni kwamba tu hutaki kujimwagia kojo nguo zote
 
Nakumbuka enzi zangu la kulimwaga... hakuna kojo tamu kama la kumwaga kitandani. Sasa ukimaliza kulimwaga lazima ustuke... hapo ndipo kadhia inapoanza sasa...
Ha haaa yaani ukijitahidi kuacha ndo tabia inazidi
 
Nakumbuka enzi zangu la kulimwaga... hakuna kojo tamu kama la kumwaga kitandani. Sasa ukimaliza kulimwaga lazima ustuke... hapo ndipo kadhia inapoanza sasa...
Lazima ushituke kweli! Na usingizi unaishia hapo! Enzi tamu keweli zile
 
Hata hilo "kulala" halipo.
Huwa nafanya jaribio la kukojoa nikiwa nimejilaza, najikakamua mkono hautoki
Sio kweli, labda kojo lako linanuka sana ndomana unaogopa kujikojolea mwenyewe ila unaweza, maana hamna koki yoyote kwenye mfumo wa binadam utakaomzuia asitoe kojo full akijiachia kuna vimisuli vidogo kwenye lango la kibofu na ukiliachia linachororoo tu full spidi so jaribu tena
 
hii imekuja kutokana na kula EX-wang alikua ananiringishia anaweza kufanya chochote ambacho mm naweza nikamwambia afanye ivo nikaona anatoa macho tyu
Alikua anakisanifu tu na ukasanifika, mi ex wangu alikua amelewa siku moja na aliliachia kojo huku anaenda toilet, nlicheka kweli siku hiyo
 
Back
Top Bottom