kwanini manamke hawezi kukojoa uku anatembea?

Sio kweli, labda kojo lako linanuka sana ndomana unaogopa kujikojolea mwenyewe ila unaweza, maana hamna koki yoyote kwenye mfumo wa binadam utakaomzuia asitoe kojo full akijiachia kuna vimisuli vidogo kwenye lango la kibofu na ukiliachia linachororoo tu full spidi so jaribu tena
Sawa mkuu
 
Lazima ushituke kweli! Na usingizi unaishia hapo! Enzi tamu keweli zile
Zile ndoto sijui zilikuwa zinatoka wapi. Maana unaweza ota mnashindana kurusha kojo mbali... au unawakojolea wachuchu... inakuwa tamu balaa. Sasa ukimaliza tu kulimwaga unashangaa usingizi umekata na jogoo anawika...

Kasheshe linakuja uwe na mama mnoko kama mama yangu ...
 
Haswaa, unaota kama mnakojoa mahali sahihi kumbe ndoto bana, kuna siku nikamlowanisha kakaa, nilichapwa usiku ule, daaaaah!
 
Kitu hicho hapo ndio kila kitu kwa madada
1532002110268.jpg
 
Zile ndoto sijui zilikuwa zinatoka wapi. Maana unaweza ota mnashindana kurusha kojo mbali... au unawakojolea wachuchu... inakuwa tamu balaa. Sasa ukimaliza tu kulimwaga unashangaa usingizi umekata na jogoo anawika...

Kasheshe linakuja uwe na mama mnoko kama mama yangu ...
Mkuu ulikuwa ulikuwa kikojozi eh?
 
Mbona uliacha ukiwa nkubwa sana
Sijui ilitokea tu na sikuwa nafanya makusudi. Ila nashukuru haikuendelea mpk nikawa mtu mzima maana ingekuwa aibu loh!
 
Inasikitisha sana mwanaume mzima uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapa?
 
Katika dini yetu tukufu hili jambo la kujisaidia haja ndogo bila kujikinga na mikojo limekemewa sana hairuhusiwi
 
Back
Top Bottom