Hata hilo "kulala" halipo.hapo kwenye kulala sorry
hii imekuja kutokana na kula EX-wang alikua ananiringishia anaweza kufanya chochote ambacho mm naweza nikamwambia afanye ivo nikaona anatoa macho tyuBasi elimu yako haijakusaidia kama hufahamu anatomy and physiology
aya bhana dem wa majaribioHata hilo "kulala" halipo.
Huwa nafanya jaribio la kukojoa nikiwa nimejilaza, najikakamua mkono hautoki
Teh.. ukiota lazima ulimwageHebu leo usiku gida maji mengi afu uote uko msalani unamwaga mkojo...
nasoma bachelor of pharmacy miaka 18
Hiyo hiyo unayofikiria shem. Nakojoaaaaa!Yan mnaongelea kukojoa huku tayari mzee ashakasirika hahaha
Au kukojoa ipi shem?[emoji23]
Wanaweza wakiwezeshwakwanini manamke hawezi kukojoa uku anatembea? naombeni mnijuze anaejua
Nakumbuka enzi zangu la kulimwaga... hakuna kojo tamu kama la kumwaga kitandani. Sasa ukimaliza kulimwaga lazima ustuke... hapo ndipo kadhia inapoanza sasa...Teh.. ukiota lazima ulimwage
Ngoja nilalee...hizi shuka nafuaga kwa mwez mara mbili tu [emoji23] [emoji23]Hiyo hiyo unayofikiria shem. Nakojoaaaaa!
Ukijaribu utafanikiwa, ni kwamba tu hutaki kujimwagia kojo nguo zoteKama mkojo umekubana inawezekana. Ila mimi nikiwa nimejilaza hata kama nimebanwa na mkojo nikijilazimisha kukojoa mkojo hautoki
Ha haaa yaani ukijitahidi kuacha ndo tabia inazidiNakumbuka enzi zangu la kulimwaga... hakuna kojo tamu kama la kumwaga kitandani. Sasa ukimaliza kulimwaga lazima ustuke... hapo ndipo kadhia inapoanza sasa...
Before you sleep..umeniita shem, how?Ngoja nilalee...hizi shuka nafuaga kwa mwez mara mbili tu [emoji23] [emoji23]
Kweli hautokiUkijaribu utafanikiwa, ni kwamba tu hutaki kujimwagia kojo nguo zote
Atakaa.. . Ushaanza kumkaribisha shetani kwenye thread ya mkojo...Hiyo hiyo unayofikiria shem. Nakojoaaaaa!
Lazima ushituke kweli! Na usingizi unaishia hapo! Enzi tamu keweli zileNakumbuka enzi zangu la kulimwaga... hakuna kojo tamu kama la kumwaga kitandani. Sasa ukimaliza kulimwaga lazima ustuke... hapo ndipo kadhia inapoanza sasa...
Sio kweli, labda kojo lako linanuka sana ndomana unaogopa kujikojolea mwenyewe ila unaweza, maana hamna koki yoyote kwenye mfumo wa binadam utakaomzuia asitoe kojo full akijiachia kuna vimisuli vidogo kwenye lango la kibofu na ukiliachia linachororoo tu full spidi so jaribu tenaHata hilo "kulala" halipo.
Huwa nafanya jaribio la kukojoa nikiwa nimejilaza, najikakamua mkono hautoki
Alikua anakisanifu tu na ukasanifika, mi ex wangu alikua amelewa siku moja na aliliachia kojo huku anaenda toilet, nlicheka kweli siku hiyohii imekuja kutokana na kula EX-wang alikua ananiringishia anaweza kufanya chochote ambacho mm naweza nikamwambia afanye ivo nikaona anatoa macho tyu
Dah.. ngoja nirudi kwenye madaAtakaa.. . Ushaanza kumkaribisha shetani kwenye thread ya mkojo...