Sawa mkuuSio kweli, labda kojo lako linanuka sana ndomana unaogopa kujikojolea mwenyewe ila unaweza, maana hamna koki yoyote kwenye mfumo wa binadam utakaomzuia asitoe kojo full akijiachia kuna vimisuli vidogo kwenye lango la kibofu na ukiliachia linachororoo tu full spidi so jaribu tena
Subiri kwanza usikojoe.....!Hiyo hiyo unayofikiria shem. Nakojoaaaaa!
Zile ndoto sijui zilikuwa zinatoka wapi. Maana unaweza ota mnashindana kurusha kojo mbali... au unawakojolea wachuchu... inakuwa tamu balaa. Sasa ukimaliza tu kulimwaga unashangaa usingizi umekata na jogoo anawika...Lazima ushituke kweli! Na usingizi unaishia hapo! Enzi tamu keweli zile
OkeeeeSubiri kwanza usikojoe.....!
Raha ya safari mfike pamoja
Afu tupe mrejeshoSawa mkuu
Haswaa, unaota kama mnakojoa mahali sahihi kumbe ndoto bana, kuna siku nikamlowanisha kakaa, nilichapwa usiku ule, daaaaah!Zile ndoto sijui zilikuwa zinatoka wapi. Maana unaweza ota mnashindana kurusha kojo mbali... au unawakojolea wachuchu... inakuwa tamu balaa. Sasa ukimaliza tu kulimwaga unashangaa usingizi umekata na jogoo anawika...
Kasheshe linakuja uwe na mama mnoko kama mama yangu ...
Ewaa...!Okeeee
aaah..wanawake wote huku ni mashem zangu kwa sababu mke wangu nilimpata huku hukuBefore you sleep..umeniita shem, how?
Ooh kumbe? Poa poa shem lakeaaah..wanawake wote huku ni mashem zangu kwa sababu mke wangu nilimpata huku huku
😀😀😀😀😀Alikua anakisanifu tu na ukasanifika, mi ex wangu alikua amelewa siku moja na aliliachia kojo huku anaenda toilet, nlicheka kweli siku hiyo
😀mzee wa vizuriaaah..wanawake wote huku ni mashem zangu kwa sababu mke wangu nilimpata huku huku
Mkuu ulikuwa ulikuwa kikojozi eh?Zile ndoto sijui zilikuwa zinatoka wapi. Maana unaweza ota mnashindana kurusha kojo mbali... au unawakojolea wachuchu... inakuwa tamu balaa. Sasa ukimaliza tu kulimwaga unashangaa usingizi umekata na jogoo anawika...
Kasheshe linakuja uwe na mama mnoko kama mama yangu ...
Aisee!Kitu hicho hapo ndio kila kitu kwa madadaView attachment 813443
Mbona uliacha ukiwa nkubwa sanaNimeacha kukojoa kitandani nikiwa darasa la 5
kwelHata mwanaume kukojoa huku anatembea hawezi. Akilazimisha atajikojolea
Sijui ilitokea tu na sikuwa nafanya makusudi. Ila nashukuru haikuendelea mpk nikawa mtu mzima maana ingekuwa aibu loh!Mbona uliacha ukiwa nkubwa sana
Mbona wewe hujawahi kunya unatembea.wanaume MNA mawazo siku hizi yaliyochokakwanini manamke hawezi kukojoa uku anatembea? naombeni mnijuze anaejua