Mzalendomorogoro
Member
- Mar 15, 2018
- 26
- 36
mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana miaka 37 , rais wa athletic madrid nae akatangaza kuwa athletic hawana mpango wa ronaldo . man united wameendelea kushinikiza kubaki kwa ronaldo japo moja ya mkataba walio sahini ni man united kufuzu UEFA lakini wameshindwa kufuzu hata pendekezo la usajili hawajanya usajiri wa maana kama club zingine.