kwanini Manchester united imekazania ronaldo asiondoke kwani hamna timu zinazomtaka ikumbukwe anapokea mshara wa pauni laki tano kwa wiki.

Joined
Mar 15, 2018
Posts
26
Reaction score
36
mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana miaka 37 , rais wa athletic madrid nae akatangaza kuwa athletic hawana mpango wa ronaldo . man united wameendelea kushinikiza kubaki kwa ronaldo japo moja ya mkataba walio sahini ni man united kufuzu UEFA lakini wameshindwa kufuzu hata pendekezo la usajili hawajanya usajiri wa maana kama club zingine.
 

Attachments

  • thumb2-4k-cristiano-ronaldo-back-view-red-neon-lights-cr7.jpg
    41.8 KB · Views: 5
USAJIRI = USAJILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…