Evelyn mke wa kwanza hakuweza kuendanz na shuhuli za uharakati, Winnie the beauty queen alishindwa. Graca was just perfect kwa mzee.Mandela kaoa mara tatu uvumilivu mdogo meanwhile Winnie angemsamehe
Hii ni umri wa mtu kumaliza masters na kuoa27 years with no man,i can never judge Winnie...never......havent felt her shoes
Wangapi anakaa 27 yrs with no man?.??
He was old and weak by that age u ks need companionship uzeeke vizuri tu...ndo mana hata hawajazaaEvelyn mke wa kwanza hakuweza kuendanz na shuhuli za uharakati, Winnie the beauty queen alishindwa. Graca was just perfect kwa mzee.
Kumbe aliachaga mkewe Evelyn. Karma
Hapana. Kosa lilikuwa ni kuendelea kutafunwa baada ya mzee kuwa huru.Kosa alilofanya ni kumfanya mzee ajue kuwa alitafunwa. Kwa msimamo wa mzee mandela, ndio maana hakumsamehe winnie
Mkuu mbwembwe zote za mwanamke ukiweza kumnyoosha vyema kitandani huwa hana ujanja. Maza alinogewa mpaka akajisahau baada ya mzee kuwa huru.Mpofu noma sana! Inaelekea "shughuli yake ya faraghani" mama alikuwa anaikubali sana.
Ni nyimbo ya lucky dube au bob marley MkuuuHii kauli umeitolea wapi?