Kwanini manesi wana roho mbaya?

Hata hao wamama wakorofi wamewekwa hapo na Mungu

Mara nyingine huo Ukorofi wao na Ukali ndio unaosababisha mtoto azaliwe

Ukileta upole na uzembe unapoteza mtoto

Waulize wanawake waliopitia huko watakueleza

Mtu anaenda kujifungua halafu anatulia kama yupo Saluni.
 
Nasikia wananyanduana sana!
 
Kiufupi kuoa mwanamke anayefanya kazi ya night shift ni msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…