Kishitokishito
Member
- Sep 16, 2017
- 65
- 27
Hivi Mange ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange kamwe hawezi kumshusha mondi hata kidogo.Anashindwa kuelewa kuwa kuna mashabiki wa mondi hawaipend ccm na kuna mashabiki wa kiba tunampenda Magufuli.Mwenzenu ana target ya 2020 kwenye kampeni. So anafanya kila awezalo kumshusha Diamond na kumpandisha Kiba ili aje kuvuta watu wengi kupigia Chadema. Nahisi Diamond lazima atachukuliwa na CCM tu
Mimi ninahisi ivyo na kama ni kweli ni vizuri ila nikiwa kama fan wa Diamond naumia so anatugawa mashabiki na wafuasi
Mange ni kidudu mtu flani hvi kibasumbua watu kwenye mitandao ya kijamiiHivi Mange ni nani?
Mange anampenda sana wema baada ya wema kumwagwa na mondi ndo kamgeuzia kibao
Mange ana watoto 3 mkuuUnaposema Mange anampenda wema ni sawa na kusema Shigongo anampenda Wema shida kubwa ya Mange kwa Wema ni "followers " wa Wema kwenye instagram na amefanikiwa kwa hilo kuhusu kumchukia Mondi roho tu inamuuma anavyomuona Mondi anamafanikio halafu yeye yupo choka mbaya kumbuka Mange alishiriki tamasha la Ruge la Diamond forever lililofanyanyika pale mlimani city anampenda Mondi kimapenzi sana tu ila mondi mwenyewe hamfagilii kabisaaa kuhusu Zari hili lipo wazi hampendi sio kisa wema nop Mange alikuwa tu changudoa anajiuza kwa wazungu wakati yupo bongo mpaka alipokuwa Dubai matarajio ya maisha yake yamepoteza muelekeo talaka,wazungu vibabu linamchanganya so stress zote anazihamishia kwa Zari coz Zari anacho kile anachokitaka Mange wakati yeye hana,Zari ana watoto watano(wakati yeye Mange anawawili tena kanyang'anywa na mahakama wanakaa na baba yao)plus stable financial ni hatua kubwa kimaisha wakati yeye hana hivyo lazima awe na chuki,visasi,kero pretending she is Wema friend while she is opportunistic.
Wema rafiki yake saana kivipi.soma nyakati,mange anajua mbururaz wengi bongo ni wafuasi wa Wema.Kwa sababu diamond alimuacha wema,cuz wema ni rafiki yake wa kufa na kuzikana
Kweli kabisa.Unaposema Mange anampenda wema ni sawa na kusema Shigongo anampenda Wema shida kubwa ya Mange kwa Wema ni "followers " wa Wema kwenye instagram na amefanikiwa kwa hilo kuhusu kumchukia Mondi roho tu inamuuma anavyomuona Mondi anamafanikio halafu yeye yupo choka mbaya kumbuka Mange alishiriki tamasha la Ruge la Diamond forever lililofanyanyika pale mlimani city anampenda Mondi kimapenzi sana tu ila mondi mwenyewe hamfagilii kabisaaa kuhusu Zari hili lipo wazi hampendi sio kisa wema nop Mange alikuwa tu changudoa anajiuza kwa wazungu wakati yupo bongo mpaka alipokuwa Dubai matarajio ya maisha yake yamepoteza muelekeo talaka,wazungu vibabu linamchanganya so stress zote anazihamishia kwa Zari coz Zari anacho kile anachokitaka Mange wakati yeye hana,Zari ana watoto watano(wakati yeye Mange anawawili tena kanyang'anywa na mahakama wanakaa na baba yao)plus stable financial ni hatua kubwa kimaisha wakati yeye hana hivyo lazima awe na chuki,visasi,kero pretending she is Wema friend while she is opportunistic.
Nadhani ni yule waziri wa mambo nje wa marekani mkuu!!Hivi Mange ni nani?
Kinachonishangaza watu kumchukia mond na kumtukana zari over alimchukua mond kwa wema wakati wema alimwacha mond mwenyewe na team yake wakashangilia.Mange anampenda sana wema baada ya wema kumwagwa na mondi ndo kamgeuzia kibao
Shida ni kwamba Analitami DULELE la D...siku nyingi...sema basi AMEPWAYA...aka KIBIBIHabari zaenu
Kwa kipindi kirefu Mwanaharakati wa Mitandaoni na kada wa zamani wa CCM Mange kimambi amekuwa akimuandama sana Mwanamuziki Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Mama watoto wake Zarina Hassan
Mange kimambi amekuwa akimponda hata kumtukana kwenye mitandao Diamond, pia amekuwa anachukizwa na mafanikio ya Platnumz kila kukicha
Mange pia hakuishia tu kwa Diamond bali aliingia ndani zaidi hadi kufikia kuichokonoa familia ya Platnumz kwa kitendo cha kuanika mahusiano ya kimapenzi ya mama yake diamond Bi Sandra na mwanaume mmoja mkazi Wa dar es salaam
~Je mange ana chuki za mapenzi?
~Akishawahi kumtaka platnumz akakataliwa?
~Anaugomvi na Zari?
Sasa hii inahusiana vip na kumchukia zari na mond maana wakat mond anaanza mahusiano na zari, wema ndiye alikuwa kambwaga mondWengi hawajui Mange ndiye aliywmuibua Wema kuanzia miss kitongoji na kumlea hadi miss Tz
Mahaba yake kwa Wema hayana kifani na humchukia yeyote anayemkorofisha
Rejea alivyomshukia Bashite
Hana akili kubwa kiasi hicho mpika majungu yule mkuu...Mwenzenu ana target ya 2020 kwenye kampeni. So anafanya kila awezalo kumshusha Diamond na kumpandisha Kiba ili aje kuvuta watu wengi kupigia Chadema. Nahisi Diamond lazima atachukuliwa na CCM tu
Mimi ninahisi ivyo na kama ni kweli ni vizuri ila nikiwa kama fan wa Diamond naumia so anatugawa mashabiki na wafuasi