Kwanini Mange Kimambi anawachukia Diamond Platnumz na Zarina Hassan?

Status
Not open for further replies.
Na hii issue ndio anabugi kisiasa inamfanya aonekane na wapenzi wa diamond hata vitu vingine anavyopost ni chuki sio kweli. Angekua anaweza kupotezea issue za Zari na Domo angekua na wafuasi wengi sana. Kama una uelewa wa saikolojia kidogo tu ukisoma anavyoandika kuhusu Zari unaona kabisa anatamani hata afe ingekua yeye ni Mungu
 
Mwenzenu ana target ya 2020 kwenye kampeni. So anafanya kila awezalo kumshusha Diamond na kumpandisha Kiba ili aje kuvuta watu wengi kupigia Chadema. Nahisi Diamond lazima atachukuliwa na CCM tu

Mimi ninahisi ivyo na kama ni kweli ni vizuri ila nikiwa kama fan wa Diamond naumia so anatugawa mashabiki na wafuasi
Mange kamwe hawezi kumshusha mondi hata kidogo.Anashindwa kuelewa kuwa kuna mashabiki wa mondi hawaipend ccm na kuna mashabiki wa kiba tunampenda Magufuli.
 
Mange anampenda sana wema baada ya wema kumwagwa na mondi ndo kamgeuzia kibao

Unaposema Mange anampenda wema ni sawa na kusema Shigongo anampenda Wema shida kubwa ya Mange kwa Wema ni "followers " wa Wema kwenye instagram na amefanikiwa kwa hilo kuhusu kumchukia Mondi roho tu inamuuma anavyomuona Mondi anamafanikio halafu yeye yupo choka mbaya kumbuka Mange alishiriki tamasha la Ruge la Diamond forever lililofanyanyika pale mlimani city anampenda Mondi kimapenzi sana tu ila mondi mwenyewe hamfagilii kabisaaa kuhusu Zari hili lipo wazi hampendi sio kisa wema nop Mange alikuwa tu changudoa anajiuza kwa wazungu wakati yupo bongo mpaka alipokuwa Dubai matarajio ya maisha yake yamepoteza muelekeo talaka,wazungu vibabu linamchanganya so stress zote anazihamishia kwa Zari coz Zari anacho kile anachokitaka Mange wakati yeye hana,Zari ana watoto watano(wakati yeye Mange anawawili tena kanyang'anywa na mahakama wanakaa na baba yao)plus stable financial ni hatua kubwa kimaisha wakati yeye hana hivyo lazima awe na chuki,visasi,kero pretending she is Wema friend while she is opportunistic.
 
Mange ana watoto 3 mkuu
 
Kweli kabisa.
Tuna mawazo sawa nimemaliza kupost kabla ya kukusoma mkuu.
 
Alinikera 2015 aliposhiriki kumtukana lowasa na kumsapoti pombe!
 
Wengi hawajui Mange ndiye aliywmuibua Wema kuanzia miss kitongoji na kumlea hadi miss Tz
Mahaba yake kwa Wema hayana kifani na humchukia yeyote anayemkorofisha
Rejea alivyomshukia Bashite
 
Mange ni Changudoa tu kazi yake kujiuza usiku kwa vibabu vya kizungu, sasa hivi kapata Green Card Marekani, hana profession wala kazi ya kufanya, kutwa yupo kwenye internet anatukana watu tu.
 
Mange anampenda sana wema baada ya wema kumwagwa na mondi ndo kamgeuzia kibao
Kinachonishangaza watu kumchukia mond na kumtukana zari over alimchukua mond kwa wema wakati wema alimwacha mond mwenyewe na team yake wakashangilia.
Nahisi hata mond alimfuata zari kumuonyesha wema kuwa anaweza na dem mkali na status zaid yake
 
Habari zaenu

Kwa kipindi kirefu Mwanaharakati wa Mitandaoni na kada wa zamani wa CCM Mange kimambi amekuwa akimuandama sana Mwanamuziki Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Mama watoto wake Zarina Hassan

Mange kimambi amekuwa akimponda hata kumtukana kwenye mitandao Diamond, pia amekuwa anachukizwa na mafanikio ya Platnumz kila kukicha

Mange pia hakuishia tu kwa Diamond bali aliingia ndani zaidi hadi kufikia kuichokonoa familia ya Platnumz kwa kitendo cha kuanika mahusiano ya kimapenzi ya mama yake diamond Bi Sandra na mwanaume mmoja mkazi Wa dar es salaam

~Je mange ana chuki za mapenzi?

~Akishawahi kumtaka platnumz akakataliwa?

~Anaugomvi na Zari?
Shida ni kwamba Analitami DULELE la D...siku nyingi...sema basi AMEPWAYA...aka KIBIBI
 
Wengi hawajui Mange ndiye aliywmuibua Wema kuanzia miss kitongoji na kumlea hadi miss Tz
Mahaba yake kwa Wema hayana kifani na humchukia yeyote anayemkorofisha
Rejea alivyomshukia Bashite
Sasa hii inahusiana vip na kumchukia zari na mond maana wakat mond anaanza mahusiano na zari, wema ndiye alikuwa kambwaga mond
 
Mwenzenu ana target ya 2020 kwenye kampeni. So anafanya kila awezalo kumshusha Diamond na kumpandisha Kiba ili aje kuvuta watu wengi kupigia Chadema. Nahisi Diamond lazima atachukuliwa na CCM tu

Mimi ninahisi ivyo na kama ni kweli ni vizuri ila nikiwa kama fan wa Diamond naumia so anatugawa mashabiki na wafuasi
Hana akili kubwa kiasi hicho mpika majungu yule mkuu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom