Kwanini Mange Kimambi anawachukia Diamond Platnumz na Zarina Hassan?

Status
Not open for further replies.
Mi nampenda Mange pia Ila hapo ndo simuelewi. Sioni Sababu kubwa ya kimchukia Diamond na Zari mpaka leo. Sawa Diamond and Wema wameachana, na Zari alimtusi Wema lakini hayo yote Wema amesamehe ila Mange ndo abaki na hasira?? Anajitesa bure tu.
 
Kuna kipindi Diamond alikua rafiki yake na Bashite,alaf Bashite akamshawishi Diamonda akagusa jina la Mange toka sikuhiyo naona ndio bifu ikaanza.
 
Maisha ya Marekani huyo yamempiga vibaya mna Hana cha CL wala nini kanyooka, naona imekuwa ngumu kwake kukubaliana na hali yake.
Enzi hizo alisema kuwa Diamond hatatoka Lkn Ikawa tofauti katoka na kupitiliza.
Alisema Zari hatapata Mali Za Ivan, Zari akapata.
Huyu bibi kijuza ni Ana roho mbaya sana.
Nashangaa hao wanaosema mwanaharakati hakuna kitu pale, angekuwa bado mashoga na kina Makamba angemtetea Magufuli mkashangaa. Huyo anampinga Magufuli kwasababu anajua ameharibu CCM sasa anajipendekeza Chadema akiwa na matumaini wakichukua nchi basi ataweza kuja bongo.
Wajinga wanaomuona wa maana hawaelewi game yake.
Mwanamke mchawi kabisa Huyu anamchukia Zari tu kisa ana utajiri, Huyu ni pshyco path kwakweli.
 
I like this view...beauty with brain
 
Umeanda kama mwanamke mwenye mimba
 
Mkuu nenda kamuulize insta...

Hapa tunajuaje sasa!??
 
Anamchukia vip almas akimuomba kimyakimya atamnyima?
 
Kuna kipindi Diamond alikua rafiki yake na Bashite,alaf Bashite akamshawishi Diamonda akagusa jina la Mange toka sikuhiyo naona ndio bifu ikaanza.
Umeanza wafuatilia juzi maana kama kumtukana diamond hakuanza leo kaanza toka jk yuko madarakani
 
Mange ana shida kiakili ingawa anajiona yuko sawa. Anapambana kwenye front nyingi kwa wakati mmoja huku akiwa hana nguvu wala uwezo huo.

Yule dada angelikuwa kaumbika tungekomaje...ila maajabu ya MussaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
HIVI KUNA MASKINI ANAE MPENDA TAJIRI?

atasema anajisikia atasema anajiona kila maneno........ Mkumbusheni mange kuwa Diamond akipost Pombe tuu kwenye page yake ana 1B mfukoni toka kwa Rickrose Sasa yeye hata apost Dawa za mvuto kama tangazo hapati hata elfu 50
 
Kwa sababu zari alichukua nafasi ya Wema sepetu kwa Mondi,
 
Kwa sababu diamond alimuacha wema,cuz wema ni rafiki yake wa kufa na kuzikana

Wema ndio alimuacha Dai.. na waliitangaza na kuishangilia mashabiki wake wote.. eti alikuwa anatumia nyota yake.. ndani ya mwezi baada ya kuachwa kisa Mzee mmoja alikuwa anampa pesa ndio akakutana na Zari. Dai alikuwa ajionyedhi kwa Wema kuwa ana pesa na anawekeza.. ya baada ndio ya kawa ya baada.. yote wengi tulitashuhudia na sherehe zao mitandaoni.. ila angetoka na mtu baki wasingemchukia Dai na huyo kama ilivyo kwa Zari hadi leo.. in short waliumbuka na Mzee akambwaga Wema..
 
Jina pekee ukilitamka utaelewa lilivyo na thamani ila mti wenye matunda ndio hupigwa mawe siku zote.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…