Maisha ya Marekani huyo yamempiga vibaya mna Hana cha CL wala nini kanyooka, naona imekuwa ngumu kwake kukubaliana na hali yake.
Enzi hizo alisema kuwa Diamond hatatoka Lkn Ikawa tofauti katoka na kupitiliza.
Alisema Zari hatapata Mali Za Ivan, Zari akapata.
Huyu bibi kijuza ni Ana roho mbaya sana.
Nashangaa hao wanaosema mwanaharakati hakuna kitu pale, angekuwa bado mashoga na kina Makamba angemtetea Magufuli mkashangaa. Huyo anampinga Magufuli kwasababu anajua ameharibu CCM sasa anajipendekeza Chadema akiwa na matumaini wakichukua nchi basi ataweza kuja bongo.
Wajinga wanaomuona wa maana hawaelewi game yake.
Mwanamke mchawi kabisa Huyu anamchukia Zari tu kisa ana utajiri, Huyu ni pshyco path kwakweli.