Kwanini Mange Kimambi anawachukia Diamond Platnumz na Zarina Hassan?

Status
Not open for further replies.
Wana hela zao, na Zarina ni mzuri anajua kudanga haswaaa roho inamuuma.
Tagizo wapare kudanga hatuwezi
 
Kwani wewe huna unaowachukia?
Tudanganye basi
 
Huyo Mange anazidiwa kila kitu na hao watu...kwa hiyo lazima awachukie....
Yani huyo mwanamke angepewa uzuri hata kidogo sijui.ingekuwaje? Hahahahaha
Sio Mange tuu wanawake wengi wanamchukia Zari...
Wanawake wengi wamejaa wivu wakijinga yani
 
Hapa anasemwa Mange wakati wapo watanzania tunaoishi nao mitaani na wengine wapo jf wasiompenda Nassibu.

Hao mmeshawauliza sababu kabla hamjaenda huko kwa mange ambaye hana acc jf
 
mange angekuwa amejikita kwenye siasa na kuibua maovu iwe yeye au kwa kutumiwa ningekuwa na mfatilia lakini kwa upande wangu na muona kama mtu aliye changanyikiwa pia huwa na washangaa wale wa mange kasema cjui ni watu wa aina gani.haiwezekani mtu anatumia lugha chafu anagombana na watoto kama diomond ambaye kesha piga hatua kubwa kumzidi yeye dimond yupo kwenye list ya vijana wenye ushawishi tanzania pia na kiba though kiafrika sio sana.ni mwehu yule bibi haiwezekani bibi kugombana na wajukuu pasi na sababu eti kisa wanamzidi mafanikio.kama anadeal na politics fine sio mizozo mpk watu wanashindwa jua unasimamia nini yaani siasa,uchumi au burudani na michezo??
 
Kiba pia anawafanyiaga kampeni CCM wote ni wa uko uko
 
Ni kweli mange anachuki za waziwazi kwa simba....na wtz wengi bila kujiuliza nn chanzo cha chuki hizo wanakua mstari wa mbele kusapoti chuki..... Tujifunze kupenda mafanikio ya wenzetu chuki hazijengi.
 

Anawish kuwa zari
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…