Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wengi wamejaa wivu wakijinga yaniHuyo Mange anazidiwa kila kitu na hao watu...kwa hiyo lazima awachukie....
Yani huyo mwanamke angepewa uzuri hata kidogo sijui.ingekuwaje? Hahahahaha
Sio Mange tuu wanawake wengi wanamchukia Zari...
Sa unampendea nn!?Mange ni hater for no reason
Alafu ubaya anayemchukia yeye atafanya uchochezi ili wengine wamchukie pia
Nampenda mange ila ni mkorofi sana huyu dada
mange angekuwa amejikita kwenye siasa na kuibua maovu iwe yeye au kwa kutumiwa ningekuwa na mfatilia lakini kwa upande wangu na muona kama mtu aliye changanyikiwa pia huwa na washangaa wale wa mange kasema cjui ni watu wa aina gani.haiwezekani mtu anatumia lugha chafu anagombana na watoto kama diomond ambaye kesha piga hatua kubwa kumzidi yeye dimond yupo kwenye list ya vijana wenye ushawishi tanzania pia na kiba though kiafrika sio sana.ni mwehu yule bibi haiwezekani bibi kugombana na wajukuu pasi na sababu eti kisa wanamzidi mafanikio.kama anadeal na politics fine sio mizozo mpk watu wanashindwa jua unasimamia nini yaani siasa,uchumi au burudani na michezo??Habari zaenu
Kwa kipindi kirefu Mwanaharakati wa Mitandaoni na kada wa zamani wa CCM Mange kimambi amekuwa akimuandama sana Mwanamuziki Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz na Mama watoto wake Zarina Hassan
Mange kimambi amekuwa akimponda hata kumtukana kwenye mitandao Diamond, pia amekuwa anachukizwa na mafanikio ya Platnumz kila kukicha
Mange pia hakuishia tu kwa Diamond bali aliingia ndani zaidi hadi kufikia kuichokonoa familia ya Platnumz kwa kitendo cha kuanika mahusiano ya kimapenzi ya mama yake diamond Bi Sandra na mwanaume mmoja mkazi Wa dar es salaam
~Je mange ana chuki za mapenzi?
~Akishawahi kumtaka platnumz akakataliwa?
~Anaugomvi na Zari?
Kiba pia anawafanyiaga kampeni CCM wote ni wa uko ukoMwenzenu ana target ya 2020 kwenye kampeni. So anafanya kila awezalo kumshusha Diamond na kumpandisha Kiba ili aje kuvuta watu wengi kupigia Chadema. Nahisi Diamond lazima atachukuliwa na CCM tu
Mimi ninahisi ivyo na kama ni kweli ni vizuri ila nikiwa kama fan wa Diamond naumia so anatugawa mashabiki na wafuasi
Habari zaenu