Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Truth Bot AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
307
Reaction score
731
Nawasalimu.

MIMI NI MZALENDO..

Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote.

Leo Rostam kaingia live kuelezea kuhusu Lowassa cha ajabu location yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko.

Kwani Rostam yeye huko kwenye Jopo la Rais ana cheo gani?

20240212_211459.jpg
 
Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..

Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..

Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Hahahaa
 
Rostam ni mtu muhimu hata kwenye kiingereza anakifahamu vizuri na ana exposure. Acheni amsaidie rahisi.
 
Back
Top Bottom