Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..

Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..

Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Kwa sasa Tanganyika kuna Rostam na Makonda.. Naomba niishie hapo...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..

Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..

Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Kwan kunashida gani akiwa mtu yake yà mkono 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Kipindi Polepole anafundisha shule ya uongozi sina shakha meseji yake ilikuwa inaenda kwa nani! Ila sasa naanza kujiuliza walikuwa wanamkebehi Polepole waliyaona aliyoyaona?
Screenshot_2024-02-12-21-41-46-82_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom