Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..

Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..

Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Hata sio mambo ya biashara kafuata Vatican manake Vatican hawafanyi biashara! Inaonekana Rostam ana kitu kikubwa na mama. Tutajua tuu!
 
Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..

Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..

Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Biashara ya majenereta inalipa
 
HuyU jasusi wa CIA yuko kwenye mission kuhakikisha ushindi wamepata kuondoka jpm hauponyoki kwa kuhakikisha wanamdhibiti samia.. Mtu mwenyewe hana lolote zaidi ya ujuzi wa kupora kutoka umma wa tanzania. Samia anadanganywa kwamba wizi na uporaji wa umma eti ndio uwekezaji.

Kitu watanzania tunahitaji ni uwekezaji binafsi wa kweli kufuatana na sheria zetu na sio uporaji wa sekta za ambapo tayari kuna uwekezaji mkubwa wa umma kama bandari reli na kadhalika halafu wajanja wanajidai eti wapewa kuwekeza kisha wanakula wao faida ambayo ingeangukia kwa umma wa wananchi.
 
Sawa buroo..
Unaweza kunitajia Hata safari moja yoyote ambayo Mama samia alienda nje na Rostam hakuwepo..
Na kwanini awe yeye?
Kama sisi sote ni watanzania?
Kuna faida gani kwa Taifa yey kuwepo?
Mimi nimjuavyo Rostam ni moja ya Wafanyabiashara maarufu LABDA👈 anaufuata msafara wa Raisi ili kutafuta fursa zake za kibiashara.

Kwenye misafara ya viongozi kuna mambo mengi ambayo hatuyajui lakini ni vizuri IKULU iwe inatueleza kuliko kutuachia sisi wa huku uswazi maana kila mmoja wetu anaongea lake.
 
Mimi nimjuavyo Rostam ni moja ya Wafanyabiashara maarufu LABDA anaufuata msafara wa Raisi ili kutafuta fursa zake za kibiashara.

Kwenye misafara ya viongozi kuna mambo mengi ambayo hatuyajui lakini ni vizuri IKULU iwe inatueleza kuliko kutuachia sisi wa huku uswazi maana kila mmoja wetu anaongea lake.
Sasa wewe ulisikia wapi Vatican kuna Biashara?
Vatikan sio tu biashara hata hospitali kule hakuna
 
Back
Top Bottom