Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..

Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..

Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Big businessman King maker since Mkapa era and the rest who followed till now !
The big businessman could also fit to be important business advisor to any Head of State !!
 
Kikwete Jana amezungumza ni Rostam, Samweli sitta na Edward Lowassa ndio walimfuata akagombee urais 1995.

Rostam alikuwepo wakati wa utawala wa Mkapa.

Rostam alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete.

Rostam baada ya kuondoka pia alirudi wakati wa utawala wa Magufuli.

Na sasa yupo katika utawala wa Samia.

Na popote nje ya nchi atakapokuwepo Samia basi Rostam humkosi.
 
Upo sawa
 
Haya bhana mwenye kisu kikali ndiye anaruhusiwa kula nyama.
 
Kipindi cha Pungu one jiwe huyu si alipitia joto la jiwe mpaka akataka kuhamia Zambia au nimechanganya files?
JPM alikwenda kufungua Taifa Gas pale Kigamboni na pia Siku au miezi michache kabla ya kifo cha JPM walikuwa pamoja naye pale Morogoro katika ufunguzi wa kiwanda chake kingine !!
Hajawahi kuwa mbali na Head of State yeyote tangu kwa hayati Mkapa na wote waliofuata baadaye !
Jamaa anajua kuzichanga karata zake vizuri
 
Back
Top Bottom