Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

1995 ndiyo alianza kujijenga,na vijana wenzie akina lowasa na jakaya
Watu wanasema ni mfanyabiashara wa siku nyingi toka enzi za Mwinyi akiwa mdogo ila hakuwa don. Ila alikuwa na connection na mawaziri na manaibu waziri enzi za Mwinyi. Na enzi hizo jakaya alikuwa waziri. Yupo kwenye game siku nyingi. Ana mbinu nyingi na connection nyingi.
 
Hizo biashara karithi,zilianza tangu mababu 150 years ago,binafsi naijua kampuni ya Caspian,ilikua kampuni ndogo inayolipa vibaya pale mgodini lusu 1990s,now imekua kubwa,nilisoma pahala imekabidhiwa mgodi,nadhani ni Williamson mwadui
 
Jamaa kakua Sana kiuchumi,1995-2024,kapiga Sana hatua,wakati kautendea haki
Connection alizonazo ndio zimemkuza. Ila kila skendo ya upigaji lazima Jina lake liwepo. Nahisi hizo skendo zimemsaidia mno kwenye biashara zake. Kuanzia epa mpaka leo. Mpaka kwenye royotua jina lake lipo 🤣🤣🤣. Huyo mwamba kwenye kikosi cha first eleven ya upigaji Tz hakosi namba.
 
Biashara ya nishati ni hela,dowans sijui vitu gani,na Sasa taifa gas ni tz na Kenya na nadhani muda si mrefu east and central Africa yote atasambaza gas Hadi huko Zambia,Botswana,Namibia...akiishi miaka 7 ijayo atakua tajiri Sana, ndo nikajua kwa nini wafanyabiashara biashara waligombea ubunge na udiwani, rubbing shoulders with people with authority,deals inakua mserereko,no vikwazo,biashara na siasa ni damudamu,hutakiwi kuwa against wanasiasa waliopo madarakani
 
Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..

Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..

Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Hakuna mzalendo Maskini

Rostam Mzalendo halisi sababu anaaminiwa sana na wawekezaji wa Kimataifa kuja nchini kuwekeza kutoa ajira nyingi na TRA mapato kuongezeka

Nimpongeze Raisi Samia safari zake kwenda na wafanyabiasha serious kama Rostam Azizi badala ya msafara wake kujaa viongozi wa Serikali wataongea Nini na wawekezaji Rostam aweza ongea lugha wanayoielewa na wakakubali kuja kuwekeza Tanzania

Wewe na uzalendo Koko wako ungeambatana na msafara wa Raisi Nini Cha maana ungeketa nchini zaidi ya album za picha ulizopiga ukiwa huko na bidhaa za shopping tu ulizonunua kule

Eti Mzalendo Nchi inahitaji wawekezaji uzalendo wako tokomea nao huko kuzimu
 
Back
Top Bottom