Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Noma sana. Hapo utakuta yupo kwenye msafara wa Mama mpaka Norway. Na Norway wana kampuni ya Equinor iko bahari ya Mtwara Lindi wanachimba gesi, na wanataka kujenga LNG plant huko kusini. Utakuta na yeye anataka kuweka mkono kwenye mradi wa gesi ya LNG. Jamaa yuko veryvery strategicBiashara ya nishati ni hela,dowans sijui vitu gani,na Sasa taifa gas ni tz na Kenya na nadhani muda si mrefu east and central Africa yote atasambaza gas Hadi huko Zambia,Botswana,Namibia...akiishi miaka 7 ijayo atakua tajiri Sana, ndo nikajua kwa nini wafanyabiashara biashara waligombea ubunge na udiwani, rubbing shoulders with people with authority,deals inakua mserereko,no vikwazo,biashara na siasa ni damudamu,hutakiwi kuwa against wanasiasa waliopo madarakani