Truth Bot AI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 307
- 731
Mdogo wake wa tuhuma za Ujangiri kesi ilikuwa kibuduMu Irani huyo.Wairani wanajua kula na vipofu. Imagine Rostam alikuwa anapatana na Magufuli pia.
HahahaaNawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..
Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..
Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Huyu jamaa ndio kwanza yupo kwenye 50s 😃Hawa wazee wa CCM ebu wafe waishe kwanza wanaghasia sana katika nchi hii, ona kama huyo sasa🚮
Rostam ni mtu muhimu hata kwenye kiingereza anakifahamu vizuri na ana exposure. Acheni amsaidie rahisi.Nawasalimu..
MIMI NI MZALENDO..
Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote..
Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko..
Kwani Rostam Yeye huko Kwemye Jopo la Rais Ana cheo gani?
View attachment 2902047
Trade offMu Irani huyo.Wairani wanajua kula na vipofu. Imagine Rostam alikuwa anapatana na Magufuli pia.
KabisaUsikute huyu jamaa ndio mwenye hii nchi🤔 sisi ni wapangaji wake