Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?


Huenda yeye ndiye anaalikwa ila anafichamia kwa Mama
 
Rostam Azizi ni mchumi amesoma uchumi na atumia uzuri elimu yake ya uchumi kuwa mfanyabiashara tajiri.

Lakini cha msingi Rostam Azizi ana connections nyingi sana duniani kumzidi raia yoyote yule wa Tanzania.

Na mwisho, Rostam Azizi ahusika na maamuzi yoyote yale ya mstakabali wa nchi hii.

Ukitaka kufahamu uzuri kuhusu Rostam Azizi na maono yake tembelea wilaya ya Igunga.

Ila mtu kama Rostam Azizi, hawezi kukosa kwenye kundi la raia na wafanyabiashara matajiri wenye connections duniani wanomsindikiza raisi kwenye misafara ya ziara maalum ni mtu maalum.

Hapo huwezi kuona jina kama la Steve Nyerere.
 
Sasa huko mnataka aende na chawa? Kina steve nyerere,mwijaku au deo magari?
 
Miaka hiyo ya 1995, ilikuwa ni enzi ya Mwinyi. Rostam yupo kwenye mishemishe toka enzi za Mwinyi mpaka leo. Kila ishu, kila dili, kila kiongozi, kila skendo, Rostam jina lake lipo.
Alikuwa Mburushi mwingine Gulam ali aliyekuwa anajificha kwenye mpira!
Wakati huo Siti Mwinyi akijizolea mawe na kupeleka nchi kama kazi.
Mzee alipoona haitoshi akaiuza loliondo kwa akina Ortello.
Bintiye huyu kaja kumalizia kilichobakia!
Mwinyi na wanao Mungu anawaona!
 
Kwanini haendi na mume wake pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…