Kwanini mara nyingi watu wanashangaa ukijiita Mtanganyika, lakini ukijiita Mzanzibari wanaona kawaida?

Kwanini mara nyingi watu wanashangaa ukijiita Mtanganyika, lakini ukijiita Mzanzibari wanaona kawaida?

Sisi , Nyerere, wakina Kambona na Tamaa zao ndio wamefosi muungano waZanzibar hawakuutaka.

Kwa ufupi sisi ndio tuliutaka na tumeutaka sasa tumeupata wacha utunyooshe
Huu muungano ungekuwa unawanyoosha wazanzibari kama unavyotunyoosha sisi basi ungeshavunjika zamani za kale.
 
Hili ndio jibu, nilitaka niseme hili


Nenda kaangalie picha zote za waliopost siku kuu ya muungano hawajaweka bendera ya Tanganyika hata mmoja
Ukiwauliza kwa nini hawajaweka bendera ya Tanganyika watakuambia Tanganyika haina serikali, Zanzibar inayo 😂.
 
Wanakushangaa kwa sababu ni kama kujiita mzimu wakati unatembea

Tanganyika ilishakufa kitambo kilichopo ni kivuli tu tena kwenye watu zaidi ya 70m+waliopo sasa waliozaliwa kipindi Tanganyika ina exist labda wamebaki laki mbili na ushee tu
Bila kuirejesha Tanganyika, mipaka ya Zanzibar itasogea hadi Mwanza!
 
Back
Top Bottom