Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

Ni kkewa sababu hawana thamani hasa ikizingatiwa kuwa wanatawala nchi tajiri lakini bado wanaombaomba na kujikomba komba
 
Sisi waafrika akili zetu tunazijua wenyewe!, Yaani kila kitu huku kwetu ni tukio au kiki.

Rais anapokea kila ndege inayonunuliwa kana kwamba mawaziri husika hawapo, aibu hizi.

Rais anazindua kiwanda cha vyerehani 6.

Rais anakagua/anazindua hadi miradi iliyopaswa kukaguliwa/kuzinduliwa na mtu wa chini kama diwani au mkuu wa wilaya.

Rais anaongelea madawati, jambo ambalo kuna waratibu elimu kutoka ngazi ya kata hadi Taifa.

Rais anaongelea barabara ya km 1 au 2 na bado watu wanapiga makofi kama sio mzaha ni kitu gani?

Akili za viongozi wengi wa Afrika zimejikita katika ubinafsi na uroho wa madaraka lakini pia na mambo ya uvyama, si unaona leo ni 2021 lakini mtu anaongelea 2025 wakati hajaanza kupimwa kwa chochote.
Watu wamepiga makofi na Kushangilia kusiko na mfano " viongozi kama hawa ndo unataka wapokelewe na kuthaminiwa? Ni aibu kubwa.

Viongozi wetu wameshatusoma kwamba watanzania ni watu wa vitu vidogo vidogo sio mambo makubwa na ndo maana serikali ikijenga hata chumba kimoja cha darasa au maabara tunanangwa au vituo vyote vya TV vinakuwa live bila kujua kwamba mambo kama haya pia wao kimataifa inawafanya wanaonekana wa kawaida sanaaaa, wajifunze.
 
Marais wanaojiheshimu na wanaoheshimu demokrasia na haki za binadamu
wanaheshimika ulaya, wale walioingia madarakani kwa nguvu na wizi wa kura nk huchukuliwa ka vibaka wengine wa mtaani
 
Sisi ndio tunaumiza vichwa na rais.....wao kwao ukishapata urais unafanya kazi kwa mujibu wa katiba Yao. Siyo hii ya kwetu rais anapangiwa hata kazi ya kuzindua choo Cha stendi. Hela zikitolewa utasikia rais Katoa, akianza ziara hata kwenda kwao mapumzikoni utasikia rais ameanza likizo. Kila kitu rais Hadi Sasa Ni common figure masikioni.
 
Kwanza tujiulize, kweli ni Marais halali? Yaani, je wamechaguliwa na wananchi kwa sheria zilizo rafiki kwa wananchi wote?
 
Umeenda mbali sana.

Raisi wa Tz na mtendaji wa kijiji yupi ana mapokezi ya shangwe nderemo na vifijo?.

Raisi wa Africa akienda Marekani anaonkana kama mtendaji tu, na lazima iwe hivyo. Tukitaka isiwe hivi tuwe na power.

Na tusipowapokea wao kwa shangwe hawatokuja tena na misaada hatutopata.

sisi tuna cha kupoteza. Wao hawana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeweka references jinsi Marais wengine waliohudhuria hiyo UNGA walivyopokelewa tofauti na SSH.Kama kuna waliopokelewa na Biden tujuzane
 
nahisi kwenye hotuba yake atazungumzia wanawake kupewa nafasi za uongozi kama vile yeye ndio mwanamke wa kwanza kutawala
Hilo liko wazi. Na aonavyo yeye hiyo ndo Falsafa Yake. Kwa Wakristo wanafahamu pamoja na Mama Bikra Maria kuwa Mzazi wa Yesu, Mwana wa Mungu, Yesu hakuwahi kumwachia mama Yake Uongozi wa Kanisa. Yeye anataka kila Kitu Duniani kigawanywe kati ya wanawake na Wanaume. Mbona hajaenda kubeba Lumbesa kule Kariakoo?
 
Wafuasi wa dikteta mna tabu wangese nyinyi, dikteta ana hotuba gani nzuri??! Au hile ya kumuambia mwananchi mavi yake hayaache nyumbani
 
Eti mama wa mungu!! Majinga nyie, Sasa huyo mungu wenu yesu, wakati yupo tumboni kwa mama yake, mungu alikuwa Nani hapa duniani??! Kwaiyo kumbe mna chuki na Samia sababu ya dini yake!!
 
Sukuma Gang Wana hasira na Rais Samia, na atawanyoosha haswa, bashite anawafadhili mumtukane Rais humu
 

Una maana hawa wasiojua umuhimu wa uhuru, haki na usawa?

Na wapuuzwe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…