Kwanini Marais wastaafu? Ni upendeleo?

Namshauri Mh. Rais anunue Mercedes-Benz za kutosha na ziwe sehemu ya msafara wake ili haya magari yaliyopo wayauze.
 
Well Said Comred.
 
Acha upumbavu we mburula usie na akili. Kuna nini cha maana mwinyi amesacrifice kwa ajili ya Tanzania? Utawala wake walimu na maaskari polisi walikuwa wanakosa hata mishahara

Yaani Sababu rais atajengewa nyumba na kupewa gari ndio ataacha ufisadi akiwa madarakani? We ni pumbavu kabisa.
 
Mzee
Umetopola kinyama.

Kinsingi umeandika mambo usiyoyajua wala kuyafahamu kina chake.

Nyumba ya Kikwete imejengwa na marehemu JPM.


Hayo uliyoyaongea yapo kwenye sheria ya mafao ya wastaafu ambayo imepitishwa na Bunge.

Uache ujinga
 
"Katiba ya mwaka1977"
 
Mkuu, kama kujali wa tayari wameshajaliwa sana. Hivi kukaa madarakani miaka 10 unachukua mshahara usiokatwa kodi na unaishi kwa malupulupu kweli bado tu hujajaliwa. Mwendazake zilikuwa zinamzidi mpaka anazigawa mtaa I kama njungu...!!

Mtu anachukua 80 % ya mshahara wa seating President, utasema hajajaliwa. Kikwete akianza kuporomosha hekalu lake la Msoga months tu baada ya kuukwaa Urais. Mbona hakusubiri hiyo ya kujengewa. Mwenda zake alikuwa na mjengo mpaka unahost na kulazwa Marais wa nchi jirani. Hivi unafikiri hiyo ni nyumba ya mchezo.

Wizi ni hurka ya mtu. Kuwajali hakutawafanya wasitupige.

Sema Mwendazake alifanya hivyo kujaribu kuwavuta karibu Wastaafu. We zake walijua hiyo sheria ilivyo na utata hivyo wakakauka hawajui tekeleza. Mkapa hakumjengea Mwinyi, JK hakumjengea Mkapa... Hivi unafikiri sababu ilikuwa ni nini hasa?
 
Mzee
Umetopola kinyama.

Kinsingi umeandika mambo usiyoyajua wala kuyafahamu kina chake.

Nyumba ya Kikwete imejengwa na marehemu JPM.


Hayo uliyoyaongea yapo kwenye sheria ya mafao ya wastaafu ambayo imepitishwa na Bunge.

Uache ujinga
" Kama unakuwa Rais kwa miaka 10 unajengewa tena nyumba ya kuishi ,katiba ya mwaka 1977 ni nzuri sana."
 
Mtamtoa roho huyu mama!

Na hivi anavyopenda kusoma yajiriyo humu….hahahaa hata usingizi atapata shida kuupata!
 
Mataga zamu yenu kuumia.

Na bado mtaumia sana.
 
Kuna mambo ni magumu kuyaelewa kwa kuyatazama juu juu.

Ukweli ni kwamba kuna level ya uongozi mtu akifika huwezi kuacha akaishi kiholela, cost benefit analysis inaegemea kwenye benefits zaidi. By the way, hiyo pesa ya kutunza wazee ni pesa kidogo sana mkuu. Waacheni wastaafu, mimi sio muumini wa siasa zao, lakini bado naheshimu walichoifanyia nchi hii.
 
Kama kuwatunza wawatunze. Sidhani kama kuna tatizo na watu wanaelewa. Ila hili la sasa la mara kujengeana Mahekalu na kupeana Mabenz kama zawadi za birthday is unaccessible...!!
 
Kama kuwatunza wawatunze. Sidhani kama kuna tatizo na watu wanaelewa. Ila hili la sasa la mara kujengeana Mahekalu na kupeana Mabenz kama zawadi za birthday is unaccessible...!!
What's the big deal?

Nyumba ipo kisheria na ni sheria iliyotungwa wakati wa Mkapa; sheria imesema mpaka nyumba ya aina gani hadi idadi ya vyumba vimetajwa

Na gari pia zimetajwa.

Naona watu wana nongwa tu. Kuna mambo ya muhimu ya kupambana, tukianza na mradi wa gesi huko LINDI.

By the way, pitia hapa roho ikuume kidogo

Mafao ya viongozi
 
Sheria za Unyinyaji hizo. Ndiyo maana wengine waliona aibu kuitekeleza.

By the way, kama gari anapewa kwa mujibu wa katiba kwa nini wanasema ni zawadi ya birthday.
 
Mkuu, sheria ilipitishwa wakati wa Salim Ahmed Salim.

Ilifanyiwa maboresho makubwa sana wakati wa Tuluwahi Sumaye na Mkapa.

Nakumbuka Wabunge walikataa kupitisha hadi pale Sumaye alipoongeza mafao yao hasa kiinua mgongo kikubwa sana. Hili ndilo lililosababisha Wabunge wengi kutohama vyama dakika za lala salama lakini pia hata Wapinzani. Spika huyu alipowatetea ''Wapinzani'' lengo lilikuwa moja, kiinua mgongo

Sheria za mafao ya viongozi wastaafu ni moja ya sheria mbovu sana, hata hivyo lazima tukumbuke kuwa hawa ni viongozi wa Africa, kwao masilahi yao ni muhimu sana kuliko masilahi ya umma.

Kuhusu Aboud Jumbe, nakumbuka miaka ya mwishoni mwa maisha yake kuna mtu alieleza kuhusu jenereta iliyokufa na kwamba Jumbe alikuwa anaishi gizani. Treatment ya Jumbe ilikuwa si nzuri kwa vigezo vyote na sijui kama kuna mafao yoyote kwake au Familia yake.
 
haya mambo yapo afrika tu, ulaya huoni hivi vitu. afrika rais, au rais mtaafu ni kama malaika
 
Dhaahir shaahir, maoni ya ndugu yangu huyu ni ubarakala wa kiwango cha PhD. Ni chuki, fitna na uchochezi. Kwa nini awamu ya mama sarakasi na vitimbi vinaibuka kwa kasi kubwa namna hii?
 
hayo yote yapo kisheria..

na siyo Mama samia..
Ni kweli! Asibebeshwe lawama! Ila ukweli tunashangaa!! Kama Msoga Republic haitoshi basi hata mbingu haitoshi na ile aliyopewa haitatosha kabisa! Huyu kiumbe Aitwaye binadamu ni wa ajabu sana!!! Mama asilaumiwe maana asipoyatekeleza atalaumiwa pia maana yapo kisheria!! Pendekezo: Itungwe sheria kuwa ili mtu awe na sifa ya kuwa rais ni : (i). Awe na nyumba ya kuishi ya kudumu.
(ii). Kama hana nyumba akopeshwe pesa za kujengea nyumba na akatwe marejesho ya mkopo huo kwa miaka 5 kutoka kwenye mashahara wake.
 
'Benzi moja, nyumba 2' marais wawili iwe mjadala kweli
In Accounting and Auditing aspects the validation of the query would be hiding in details of the cost... "How much" full stop....Hivyo mjadala mzima unaanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…