likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
Mkuu umetumia kiswahili Ila sijaelewa lkn Asante sio lazm nielewe Sana Ngoj nicheke nyuma ya keyboardmimi bwana likanda kwa upeo wangu huu wa memkwa ni kwamba bara la africa tuna nchi 54 nchi ambazo uchaguzi unafanyika kwa haki hazifiki hata 2 sasa kwa mtindo huo wanaweka ulinzi wa hatari ili kuwalinda hawa wafalme yaani wizi ni tabia iliyokubuhu africa
Swalama waheshimiwa!
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza kwanini marais wetu wanalindwa na jeshi la wananchi (JWTZ), Kwa sababu mimi nijuavyo kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda usalama wa mipaka yetu!
Jukumu la usalama wa raia na mali zao limewekwa kwa jeshi la polisi!
Sasa, kwanini Marais wetu wanalindwa na JWTZ? Au hawauamini ulinzi wa polisi? Kwanin bodguard wa Rais asiwe polisi?
Dhumuni la hoja yangu ni kujua ukweli na kujifunza pia, kwa hiyo kukosoa ni ruksa.
KARIBUNI.
Toba......[emoji87] [emoji87]Polisi ni wavuta bange...
Polisi hao wapo kwa ajili ya watu sio rais maana ndio kazi ya civilian police.Yule nyuma yake mwenye sare sio mlinzi ni mpambe wa rais.
Walinzi ni wale watu wa usalama wenye suti na polisi ffu pembeni yao.
ni mpambe ndio unatakiwa umwambie kwann kavaa sare za jeshi?Yule nyuma yake mwenye sare sio mlinzi ni mpambe wa rais.
Walinzi ni wale watu wa usalama wenye suti na polisi ffu pembeni yao.
Neno mpambe lipo wazi kabisa sidhani kama linahitaji maelezo mengi,nilitaka aelewe kwamba yule hayuko kwa ajiri ya ulinzi pale bali alama.ni mpambe ndio unatakiwa umwambie kwann kavaa sare za jeshi?
*soma!
*fuatilia speech ya pro palamagamba alishalivunja hilo!