mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Kabisa,yaani raia yeyote mwenye uraia wa nchi yake.Polisi hao wapo kwa ajili ya watu sio rais maana ndio kazi ya civilian police.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa,yaani raia yeyote mwenye uraia wa nchi yake.Polisi hao wapo kwa ajili ya watu sio rais maana ndio kazi ya civilian police.
Neno mpambe lipo wazi kabisa sidhani kama linahitaji maelezo mengi,nilitaka aelewe kwamba yule hayuko kwa ajiri ya ulinzi pale bali alama.
Sasa mtataka mjue kwanini hayupo private pale Ila afisa tena canal na si juu wala chini ya hapo.
Memkwa at works kweli umeivamimi bwana likanda kwa upeo wangu huu wa memkwa ni kwamba bara la africa tuna nchi 54 nchi ambazo uchaguzi unafanyika kwa haki hazifiki hata 2 sasa kwa mtindo huo wanaweka ulinzi wa hatari ili kuwalinda hawa wafalme yaani wizi ni tabia iliyokubuhu africa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wana du sioKuna action moja niliona kwa wenzetu jamaa walikuwa wanaweka ulinzi kwa ajiri ya raisi gafla mlinzi mmoja akaona panzia ktk chumba kimoja cha hotel ya ghorofa limecheza,ikabidi amwambie jamaa wa kwenye computer room kuw anamashaka na kile chumba yule jamaa aka scan kile chumba akaona watu wanafany tu mapenzi ikabidi amwambie jamaa kupo fresh wala asiwe na wasiwasi.technologia kama izo sisi huku hatuna
Kutokana na usalama kuwa mdogo san tofauti na nchi za ulaya zilizoendelea.unakuta wana technologia ya hali ya juu katika ulinzi wa viongozi ndo maana ukuti wanabeba siraha ovyo,unakuta tu wamepiga suti zao
Swalama waheshimiwa!
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza kwanini marais wetu wanalindwa na jeshi la wananchi (JWTZ), Kwa sababu mimi nijuavyo kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda usalama wa mipaka yetu!
Jukumu la usalama wa raia na mali zao limewekwa kwa jeshi la polisi!
Sasa, kwanini Marais wetu wanalindwa na JWTZ? Au hawauamini ulinzi wa polisi? Kwanin bodguard wa Rais asiwe polisi?
Dhumuni la hoja yangu ni kujua ukweli na kujifunza pia, kwa hiyo kukosoa ni ruksa.
KARIBUNI.

Huyu mtu analeta siasa kwenye suala la kitaaluma.watanzania shidaa.km hujui c ukae kimya??!!Mkuu umetumia kiswahili Ila sijaelewa lkn Asante sio lazm nielewe Sana Ngoj nicheke nyuma ya keyboard
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeh....!Polisi ni wavuta bange...
Mbowe ameweka mgambo na yeye !Swalama waheshimiwa!
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza kwanini marais wetu wanalindwa na jeshi la wananchi (JWTZ), Kwa sababu mimi nijuavyo kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda usalama wa mipaka yetu!
Jukumu la usalama wa raia na mali zao limewekwa kwa jeshi la polisi!
Sasa, kwanini Marais wetu wanalindwa na JWTZ? Au hawauamini ulinzi wa polisi? Kwanin bodguard wa Rais asiwe polisi?
Dhumuni la hoja yangu ni kujua ukweli na kujifunza pia, kwa hiyo kukosoa ni ruksa.
KARIBUNI.
Kila nchi ina utaratibu wake wa ulinzi wa rais, kina nchi wana kikosi maalum cha wanajeshi wa kulinda rais na ikulu kuu na ndogo, kuna nchi wanakikosi maalum cha polisi ulinzi wa rais, kuna nchi rais analindwa na makundi matatu ya askari jeshi,polisi, usalama wa taifa kama TZ.Swalama waheshimiwa!
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza kwanini marais wetu wanalindwa na jeshi la wananchi (JWTZ), Kwa sababu mimi nijuavyo kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda usalama wa mipaka yetu!
Jukumu la usalama wa raia na mali zao limewekwa kwa jeshi la polisi!
Sasa, kwanini Marais wetu wanalindwa na JWTZ? Au hawauamini ulinzi wa polisi? Kwanin bodguard wa Rais asiwe polisi?
Dhumuni la hoja yangu ni kujua ukweli na kujifunza pia, kwa hiyo kukosoa ni ruksa.
KARIBUNI.
Kila nchi ina utaratibu wake wa ulinzi wa rais, kina nchi wana kikosi maalum cha wanajeshi wa kulinda rais na ikulu kuu na ndogo, kuna nchi wanakikosi maalum cha polisi ulinzi wa rais, kuna nchi rais analindwa na makundi matatu ya askari jeshi,polisi, usalama wa taifa kama TZ.
Zamani kipindi cha Nyerere mpambe wa rais alikuwa polisi halafu walinzi walikuwa wanajeshi, akaamua kubadili, mpambe akawa wa JWTZ halafu walinzi wakawa polisi wakisaidiana na usalama wa taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi gani hiyo unayoongeleaKutokana na usalama kuwa mdogo san tofauti na nchi za ulaya zilizoendelea.unakuta wana technologia ya hali ya juu katika ulinzi wa viongozi ndo maana ukuti wanabeba siraha ovyo,unakuta tu wamepiga suti zao
ni mpambe ndio unatakiwa umwambie kwann kavaa sare za jeshi?
*soma!
*fuatilia speech ya pro palamagamba alishalivunja hilo!