Ivi wale walinzi wengine wanaovaa safari suit Sijui, ,,wanaweza kweli wakambeba Rais wetu pindi itokeapo dharula ili kumnusuru, maana wengine nawaona wana sura soft na wengine wana vitambi ambavyo kwa mimi mtu wa mazoezi kitambi ni dalili kuwa haupo fit bado,
mmoja tu yule ambae anakuwaga karibu na Rais ndio namuona yupo fit mno na kauzu kweli,,,ila simuoni sikuizi pia,,, au wale wazee wa suti huwa wanakuwa nao ni wapambe tu,, Ila now Naona ndio ana ulinzi aswa baada yakuwepo wale jamaa wa gwanda za makirikiri na wale FFU wa kikosi maalum, jamaa wapo fit mno ,,na wana sura za kazi aswa na milii ya gym au dojo