Kwanini marais wetu wanalindwa na JWTZ badala ya Polisi?

JESHI WANA WELEDI KULIKO POLISI ,MBINU NYINGI NA UWEZO KIULINZI.
NA KAZI YA POLISI KUWA KANDAMIZA WAPINZNI TU KW AMRI WATAKAYOPEWA NDIYO KAZI KUU
 
Kazi kuu ya jeshi la wananchi duniani kote ni kulinda Rais, nchi na mipaka yake. Bilashaka mwenye kuuliza utakua umenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

hii ni mpya kwangu na ningependa kujifunza zaidi kuhusiana na NDC
 
Nimepata kitu hapa "kozi ya kuwaingiza kwenye system" System gani?


Na washawasha!

 
Kumbe na wewe umeliona hili, kuwa mwanajeshi ni kuvaa uniform za jeshi? Hajui kuwa kwa wenzetu zinavaliwa hata mtu akienda kutongoza na kupunga upepo ufukweni. Wale wanaolinda viongozi wa ulaya kwa vile hawakuvaa mabakamabaka si wajeshi.


Na washawasha!


 
 


Mkuu ni hivi,



Kozi/mafunzo ya ""u"system" huwa yapo camouflaged. Nadhani umenielewa!
 
Neno mpambe lipo wazi kabisa sidhani kama linahitaji maelezo mengi,nilitaka aelewe kwamba yule hayuko kwa ajiri ya ulinzi pale bali alama.

Sasa mtataka mjue kwanini hayupo private pale Ila afisa tena canal na si juu wala chini ya hapo.
Afisa mwenye cheo chochote anaweza kuwa mpambe wa Rais , Afisa kutoka jeshi lolote anaweza kuwa mpambe wa Raisi. Mpambe wa Raisi ni alama na sio mlinzi.

CHEO
Kipindi cha JK ,alikuwa na mpambe mwenye cheo cha kanali na badae alipandishwa cheo kuwa bregadia jenerali, protocol inatakiwa bregadia gali yake iwe na nyota moja lakini kwakuwa yupo kwenye uwakilishi wa Amiri jeshi mkuu it doesn't matter.

JESHI Lolote anaweza toka.
Kipindi cha marehemu Nyerere ,alikuwa na mpambe kutoka jeshi la polisi.

WALINZI
Walinzi wa Raisi wanatoka kitengo cha usalama wa taifa, ikumbukwe kuwa idara ya usalama wa taifa hapo mwanzoni ilikuwa ni moja ya vitengo vya jeshi la polisi kabla badae hii hidara kuhamishiwa ofisi ya Raisi, na pia ikumbukwe kuwa kumeshawai kuwa na mkuu wa hidara hii kutoka jeshi la wananchi (meja jenerali Kombe, rip). Ikulu kunalindwa na polisi Pamoja na wazee wa kitengo.
 
Yeye ni amiri jeshi na bodguard kuwa mjeda ni ishara ya jeshi kuwa tiifi kwa rais
 

Umemaliza
 
Kajaribishe utapata majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…