Kwanini marefa hawahojiwi na waandishi wa habari baada ya mechi kuisha?

danhoport

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2020
Posts
1,984
Reaction score
4,502
Huwa naonaga baadhi ya wachezaji na makocha wakihojiwa na waandishi baada ya mechi kumalizika ila sijawahi kuona marefa wakihojiwa, ni kwanini?.....
 
Wanahojiwaga makocha na wachezaji tu. Labda marefa hulindwa wasipigwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…